Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Unaosha mangapi?nioshe moja tu inahusu!!!
ndeed so lovelyUkiingia hapa JamiiForums unaweza ukahisi hakuna mahusiano mazuri ya kimapenzi. Wachache waliopatwa na majanga kwenye mahusiano wanataka kutuaminisha wote kuwa mahusiano ni kitu kibaya.
Wanaofurahia mahusiano yao wangesema waje huku kusifia pasingetosha humu ni vile wapo busy ku-Socialize na wapenzi wao.
Don't get twisted, love is a beautiful thing.
Mimi ni mmojawapo...ndoa tamu jamaniii nampenda mme wangu...Ulichoandika hapa ni sawa na kumkaribisha Mgeni chai isiyo na sukari alafu unamwambia 'sukari ipo tele kule jikoni lakini sijakuwekea' sasa sijui kama wewe ndio Mgeni hapo utamuuliza nini huyo Mwenyeji wako.
Kama wapo wengi wanaofurahia basi ngoja tuendelee kuwasubiri waje kutoa ushuhuda.
haswaaaa tunawakaribisha watatukutaNa wengine yakiwashinda wanarudi.
Hahahaomba yasikukute mambo haya, halafu mapenzi yao yalikuwa open tu masikini...ila bibi harusi naye katia fora si kwa gauni hilo naona lulu alikuwa kama ndio bibi harusi ukumbini