Hatimaye haki imetendeka. Je, nawezaje kudai fidia kwa fedheha niliyosababishiwa?

Hatimaye haki imetendeka. Je, nawezaje kudai fidia kwa fedheha niliyosababishiwa?

Kuna watu wanapenda ligiiiii! Naona hamna kazi za kufanya mnawaza kutwa kucha kushinda kwenye benchi za mahakama kurushiana vifungu teheteheeeeeeee Waaafrika buana.
 
Hapo nenda mahakamani ukamfungulie kesi ya Malicious prosecution.Uwe na copy ya hukumu.Utatakiwa kuthibitisha kama muhusika alikushtaki kwa kujua kwamba hukumuibia,kwamba kesi imeisha kwa wewe kushinda na kuonesha damage uliyopata kwa ujumla na kipato ambacho ungepata.
 
Mfungulie kesi ya madai bill of coast andaa vielelezo vyote?? Niulize keshi ilihamriwa kashindwa kwa gharama au???
 
Kwani alikushtaki yeye au ulishtakiwa na Jamhuri? Hili ni kosa la jinai kwa hiyo unaweza kuifungulia Jamhuri siyo yeye.
 
achana na maKesi
msamehe fanya mengine
Wahindi huwezi waona mahakamani wakimshtaki mtu
 
Back
Top Bottom