Hapo nenda mahakamani ukamfungulie kesi ya Malicious prosecution.Uwe na copy ya hukumu.Utatakiwa kuthibitisha kama muhusika alikushtaki kwa kujua kwamba hukumuibia,kwamba kesi imeisha kwa wewe kushinda na kuonesha damage uliyopata kwa ujumla na kipato ambacho ungepata.