Hatimaye Halima Mdee na Mzee wa AkiliMali wachukua fomu kugombea uongozi yanga

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Waliochukua fomu ya kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Klabu kongwe nchini Yanga itakayofanya Uchaguzi wake tarehe 13 January, 2019:-

Nafasi ya Mwenyekiti:-
1. Tarimba Abbas Tarimba.
2. Iman Mhugura Madega.
3. Ibrahim Akilimali.

Makamu Mwenyekiti:-
1. Said Mecky Sadiq.
2. David Mosha.
3. Mbaraka Igangura.

Nafasi nne za wajumbe wa Kamati Tendaji:-
1. Abdallah Binkleb.
2. Hussein Ndama.
3. Shija Richard.
4. Hamad Islam.
5. Paul Malume.
6. Isack Chanji.
7. Aroni Nyanda.
8. Yusuph Mhendeni.
9. Ally Mayai.
10. Mhe. Halima Mdee.
 
Matokeo ninavyoona..mwenyekiti Abbas Tarimba..makamu mwenyekiti David Mosha..(tumemiss msafara wa Yanga siku ya mechi kuongozwa na Lamborghini ya njano JOKING)wajumbe
Abdallah Binkleb.
Hamad Islam.
Ally Mayai.
Mhe. Halima Mdee.(Halima kwa kuwa tunahitaji mwanamke kwenye nafasi za juu ili kuwavuta wanawake wenzake)
 
Mwenyekiti hapo Abasi Tarimba, makamu mwenyekiti ni Davis Mosha. Full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…