Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Mkuu, tuwaache na mambo yao.Hawaambiliki.Madega,Tarimba na Akilimali wana jipya lipi tena Yanga,Yanga igeni Simba katika hili. Piga chini wote hasa Madega,amesahau nini.
Halima Mzee?????Tarimba anafaa kutuongoza wana Yanga pia Halima Mzee kichwa namkubali kuwa miongoni mwa wajumbe.
Bado wanamsubiri Manji arudi Januari.Nakazia
Sasa kama wewe hujachukua fomuMbona ni mijitu ile ile kila siku.
Nami nashangaa sanaHivi huko Kilimanjaro hakuna Timu ya mpira hadi wote wawe Yanga/Simba?
Acha wivu wa kike.Hivi huko Kilimanjaro hakuna Timu ya mpira hadi wote wawe Yanga/Simba?
Wanachama wa Yanga tafadhalin muwachuje wagombea msije mkaingiza watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja kwenye klabu yaWananchi.Waliochukua fomu ya kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Klabu kongwe nchini Yanga itakayofanya Uchaguzi wake tarehe 13 January, 2019:-
Nafasi ya Mwenyekiti:-
1. Tarimba Abbas Tarimba.
2. Iman Mhugura Madega.
3. Ibrahim Akilimali.
Makamu Mwenyekiti:-
1. Said Mecky Sadiq.
2. David Mosha.
3. Mbaraka Igangura.
Nafasi nne za wajumbe wa Kamati Tendaji:-
1. Abdallah Binkleb.
2. Hussein Ndama.
3. Shija Richard.
4. Hamad Islam.
5. Paul Malume.
6. Isack Chanji.
7. Aroni Nyanda.
8. Yusuph Mhendeni.
9. Ally Mayai.
10. Mhe. Halima Mdee.View attachment 929706View attachment 929707View attachment 929708
Sasa mkuu, kunataaria nmeiona humu ya wanachama walochukua fomu kuwania uongozi mbalix2 ndan ya YANGA (Uenyekiti ukiwemo)Waliochukua fomu ya kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Klabu kongwe nchini Yanga itakayofanya Uchaguzi wake tarehe 13 January, 2019:-
Nafasi ya Mwenyekiti:-
1. Tarimba Abbas Tarimba.
2. Iman Mhugura Madega.
3. Ibrahim Akilimali.
Makamu Mwenyekiti:-
1. Said Mecky Sadiq.
2. David Mosha.
3. Mbaraka Igangura.
Nafasi nne za wajumbe wa Kamati Tendaji:-
1. Abdallah Binkleb.
2. Hussein Ndama.
3. Shija Richard.
4. Hamad Islam.
5. Paul Malume.
6. Isack Chanji.
7. Aroni Nyanda.
8. Yusuph Mhendeni.
9. Ally Mayai.
10. Mhe. Halima Mdee.View attachment 929706View attachment 929707View attachment 929708
Halima-Mdee akishinda atavaa vipi mavao ya yanga na ukijani wote ulee?Waliochukua fomu ya kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Klabu kongwe nchini Yanga itakayofanya Uchaguzi wake tarehe 13 January, 2019:-
Nafasi ya Mwenyekiti:-
1. Tarimba Abbas Tarimba.
2. Iman Mhugura Madega.
3. Ibrahim Akilimali.
Makamu Mwenyekiti:-
1. Said Mecky Sadiq.
2. David Mosha.
3. Mbaraka Igangura.
Nafasi nne za wajumbe wa Kamati Tendaji:-
1. Abdallah Binkleb.
2. Hussein Ndama.
3. Shija Richard.
4. Hamad Islam.
5. Paul Malume.
6. Isack Chanji.
7. Aroni Nyanda.
8. Yusuph Mhendeni.
9. Ally Mayai.
10. Mhe. Halima Mdee.View attachment 929706View attachment 929707View attachment 929708