Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Kinaniuma kukuona wewe unakesha ukiumizwa na maendeleo ya mwenzio. Mara bibi mara anapenda wanaume wadogo mara hivi. Yasingekuuma ungekua umetulia na wanao unawafundisha hesabu saiv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]kama sio mbongo kinakuuma nini sasa...pyeeeeee!!