Kinaniuma kukuona wewe unakesha ukiumizwa na maendeleo ya mwenzio. Mara bibi mara anapenda wanaume wadogo mara hivi. Yasingekuuma ungekua umetulia na wanao unawafundisha hesabu saiv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]kama sio mbongo kinakuuma nini sasa...pyeeeeee!!
Mimi simchukii nasema ukweli kua bibi kizee passport yake iko 1975 halafu ujue Ivan alishasema Zari ni mkubwa kuliko kipindi hicho alikua 40[emoji3][emoji16][emoji2][emoji23][emoji3][emoji3]poleni kwa kukaaa lock upUnampenda zari kweli mpaka unaijua passport yake ya kwanza ikoje. Vipi hamisa passport yake ya kwanza imeandikwa kazaliwa mwaka gani
Hahaaa...hujui Leo ni wikiendi halafu hapa ni celebrity forum...eti..Kinaniuma kukuona wewe unakesha ukiumizwa na maendeleo ya mwenzio. Mara bibi mara anapenda wanaume wadogo mara hivi. Yasingekuuma ungekua umetulia na wanao unawafundisha hesabu saiv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ivan alisema lini?? Ebu lete nione.Mimi simchukii nasema ukweli kua bibi kizee passport yake iko 1975 halafu ujue Ivan alishasema Zari ni mkubwa kuliko kipindi hicho alikua 40[emoji3][emoji16][emoji2][emoji23][emoji3][emoji3]poleni kwa kukaaa lock up
Nachokupendaga huna hasira evaaa...sisi watani wa jadi jamani!!Kacheke....
View attachment 875250
Hasira unazo wewe bibi yangu maana unakesha ukiombea mwenzio adhalilike na ishakua yupo kileleni humkuti. Kama wewe ni mama yake mzazi basi kweli unaujua umri wa mwanao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahaaa...hujui Leo ni wikiendi halafu hapa ni celebrity forum...eti..
Huyo miaka 43 wenu muambieni aache kudanganya umri jamani [emoji3][emoji16][emoji16]
Punguza hasira shostii!!!
Waswahili wanamsemo unasema hivi...kama unavila vya mwari basi kungwi ngoja vyako vitaliwa...pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] punguza presha basiiIvan alisema lini?? Ebu lete nione.
Mimi nahisi ni uongo, inawezekana kuwekwa lock up kisa umri?Umeona eeh!pumzika shoga Angu!!
Bibi kizee kawekwa Massa 16 lock up kwa kufoji umri kwenye passport!!
Naskia make up zote ziliisha wacha wazungu waanze kumkimbia wakijua kua ni Michael Jackson [emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
Mimi nacheka balaaa hapa!!unavyopovukaa!!Hasira unazo wewe bibi yangu maana unakesha ukiombea mwenzio adhalilike na ishakua yupo kileleni humkuti. Kama wewe ni mama yake mzazi basi kweli unaujua umri wa mwanao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yani nipovukie maandishi [emoji23][emoji23][emoji23] nipo zangu hapa nimekunja nne nakucheka wewe na miwivu yako. Mana mzazi wa hamisa na zari unayejua wanao wamezaliwa mwaka gani.Mimi nacheka balaaa hapa!!unavyopovukaa!!
Poleni kwa kukaa cello!!
Shoga passport ya mwanzo alionyesha kazaliwa 1975 juzi 1978,Leo 1980...wenzetu record zao zinawekwa kwenye kompyuta....enzi na enziMimi nahisi ni uongo, inawezekana kuwekwa lock up kisa umri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha ya huyo binti yamejaa uongo tu ndani ya hiyo miaka 10 majizo alikua wapi sijui au majizo alidate nae akiwa na 8years
Sio kweli jikazee tuuYani nipovukie maandishi [emoji23][emoji23][emoji23] nipo zangu hapa nimekunja nne nakucheka wewe na miwivu yako. Mana mzazi wa hamisa na zari unayejua wanao wamezaliwa mwaka gani.
Sio Mimi nliesema 23 ni yeye japo we umesema ana 24 na 26Hana 23 bwana ana 26 Eva huyo utamuweza[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2]
Ila ana safar ndefu sana 26 two kids different father
Mama wa5 anamchamba mange huko insta [emoji23][emoji23][emoji23]Sio kweli jikazee tuu
Sisi watani ukikeep serious shauri yakoo!!
Pole kwa kukaa cello
Bibi wee...tukinao mwenyewe kafoji seuse Misssaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maisha ya huyo binti yamejaa uongo tu ndani ya hiyo miaka 10 majizo alikua wapi sijui au majizo alidate nae akiwa na 8years
Mekoseaaa hahaaaaSio Mimi nliesema 23 ni yeye japo we umesema ana 24 na 26
Fanya edit tu pale kwenye hiyo post.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anajisifu kazaa na wenye helaNamuombea tu asijezaa na le mutuz au ney wa mitego