Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Mwenyewe nitaanza kuruka majoka nikifika miaka 40
Lazima role modal wenyewe Zariii!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kijana anaedit hadi kidevu, haki a mama zama hizi kuoneka kama kiroba umependa, na wanaume wanaingia chaka sana na hizi editing
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi wewe nenda PM ukirudi Ntakujbuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi wewe nenda PM ukirudi Ntakujbuu
Naenda kunyonyesha byeπŸ˜€πŸ˜€
Nakuachia homework, umri wa hamisa ni mara mbili ya umri wa zari, umri wa Raynavero na zari tofauti ni miaka minne, tafuta umri wao
 
Umeona eeeehhh!!!role modal wako wewe tukinao!!!!bibi kizee mwenye hela za kudanga siye vya ualimu wa primary hatukufaiii[emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23]
Kudanga kwa akili mjini hapa. Sio unazaa na matajiri halafu naadae unapitisha bakuli la michango [emoji23][emoji23][emoji4][emoji4]
 
Kudanga kwa akili mjini hapa. Sio unazaa na matajiri halafu naadae unapitisha bakuli la michango [emoji23][emoji23][emoji4][emoji4]
Yote maisha tu shoga angu na kudanga ukishakiribia menopause unafoji umri uendelee kulalwa na vitoto huo ni ujuhaaaaaa!!!

Mkubali kuzeeekaa
 
Yote maisha tu shoga angu na kudanga ukishakiribia menopause unafoji umri uendelee kulalwa na vitoto huo ni ujuhaaaaaa!!!

Mkubali kuzeeekaa
Mbona wasichana wanadanga kwa vibabu. Na wabibi nao wanataka raha pia. Menopause hata wewe utaifikia tena kama ndio una roho mbaya hiyo inaweza kuwahi [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jipe moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo tabu ya kuruka stage hiii.
Mnashikwa shikwa na watoto eti life haina formula

Jikaze mtanii
Nakuambia Zari amewanyoosha sahv mmepoa team pussy so good[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwani yeye wa kwanza kuroga au kwenda kwa mganga? hebu acheni ngebe. Mijitu inalala kwa waganga daily. Kwanza hamisa mdg wangu unajishusha thamani kwa kuloga familia zilizoshindikana kwa uganga. Hebu piga kazi kila mtu ana upande wake mbaya hakuna alie mkamilifu chini ya jua. Sema tuu ma utimu yanaharibu sana siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…