Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Shoga umeng'ang'ana na roho mbaya kaahh!ipake rangi ipendeze...Mbona wasichana wanadanga kwa vibabu. Na wabibi nao wanataka raha pia. Menopause hata wewe utaifikia tena kama ndio una roho mbaya hiyo inaweza kuwahi [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamnyoosha nani labda kwa mfano...na uzee ule mpk Leo anaziniwa na watoto wa kuwazaa...tofauti Ya zari ni sista ni kua Zari anajua kizungu tuuu!!Nakuambia Zari amewanyoosha sahv mmepoa team pussy so good[emoji16][emoji16][emoji16]
Mautimu na husda ishu ni kwa nini Hamisa kazaa na dai hilo ndo tatizo hawa vikongwe roho zinawauma walijua dai hatozaa tenaKwani yeye wa kwanza kuroga au kwenda kwa mganga? hebu acheni ngebe. Mijitu inalala kwa waganga daily. Kwanza hamisa mdg wangu unajishusha thamani kwa kuloga familia zilizoshindikana kwa uganga. Hebu piga kazi kila mtu ana upande wake mbaya hakuna alie mkamilifu chini ya jua. Sema tuu ma utimu yanaharibu sana siku hizi
Hahaaa...Mimi siumii na vitu vidogoo..Eti anafuta yaani inaonekana ile post imekuuma haaa pussy so goooooood
H[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Hahaha, dah.
Hesabu za umri hata maticha walikuwa hawataki kuziona, nakumbuka mwalimu wetu alikuwa anasema mpelekee hesabu zote kasoro za umri.
Utasikia, sasa sisi tumemzaa mpaka tujue umri wake?
Dada anapenda sana ushirikina,kawachonganisha domo Na zari akajua ataolewa yy,sasa hivi anatapatapa
Ngoja aaamke....breki ya kwanza lipono la dildo[emoji23] [emoji23]Nilivyoona huu uzi nikakumbuka shost ulivyobisha voive note sio za missa.
Umeona huko tukinao anamchokoza Mange?
Keshaamka kapost picha ya Zari ambayo katoka vibaya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja aaamke....breki ya kwanza lipono la dildo[emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] vipi dear kwani mmesema nna maisha mazuri...punguza hasira bwanaa...vitu vidogo hvii....!!roho mbaya kwa Zari,Hamisa je!??nyie team Vikongwe mna taaabu!+
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyinyi mtu mnanifurahisha sana haaahaaaaMbona na wewe kikongwe shoga angu. Kwa umri wangu wewe kwangu kikongwe.
Una roho mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Ha ha ha madame kuwa specific basi ni 23, 24 au 26 ka vipi chukua mathematical table hapo
Heee!ngoja niende nyumbani kumenogaaaa!!!hahaaKeshaamka kapost picha ya Zari ambayo katoka vibaya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maisha mafupi dear furahi tuu!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3]Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyinyi mtu mnanifurahisha sana haaahaaaa
Yaaaan mi nacheka hapa mpaka machozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi comments za humu zinaniua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niwe msomaji maana leo ninaemkubali kapumzishwa.
Cheka kama kotee....Yaaaan mi nacheka hapa mpaka machozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mabest zangu imebidi wakae wameniangalia na kunishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HaaahaaaaaUmeona eeh!pumzika shoga Angu!!
Bibi kizee kawekwa Massa 16 lock up kwa kufoji umri kwenye passport!!
Naskia make up zote ziliisha wacha wazungu waanze kumkimbia wakijua kua ni Michael Jackson [emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]