Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

tatizo anapenda awe maarufu muda wote... kwan nini kilimfanyaa aachane na majizo??
na kichwa chake kama dafu!!
 
Wewe unamuona huyo kwenye media wakati huko wanakatwa hadi vithimi wanakula bakora, wanalazwa nje na kumwagiwa maji ya moto nabado wanabeba mimba kuongeza watoto unabahati wewe wa mjini ungekula makofi daily na bado unawapanga kama sungura
 
Mbona wasichana wanadanga kwa vibabu. Na wabibi nao wanataka raha pia. Menopause hata wewe utaifikia tena kama ndio una roho mbaya hiyo inaweza kuwahi [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shoga umeng'ang'ana na roho mbaya kaahh!ipake rangi ipendeze...

Hivi kusema ukweli ni roho mbayaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poleeee....shooooo!!!!
 
Nakuambia Zari amewanyoosha sahv mmepoa team pussy so good[emoji16][emoji16][emoji16]
Kamnyoosha nani labda kwa mfano...na uzee ule mpk Leo anaziniwa na watoto wa kuwazaa...tofauti Ya zari ni sista ni kua Zari anajua kizungu tuuu!!

Ila wote sawaa
 
Kwani yeye wa kwanza kuroga au kwenda kwa mganga? hebu acheni ngebe. Mijitu inalala kwa waganga daily. Kwanza hamisa mdg wangu unajishusha thamani kwa kuloga familia zilizoshindikana kwa uganga. Hebu piga kazi kila mtu ana upande wake mbaya hakuna alie mkamilifu chini ya jua. Sema tuu ma utimu yanaharibu sana siku hizi
Mautimu na husda ishu ni kwa nini Hamisa kazaa na dai hilo ndo tatizo hawa vikongwe roho zinawauma walijua dai hatozaa tena

Wanahaha kutukana kila mwanamke wa Zari wanapata tabu sanaa
 
Eti anafuta yaani inaonekana ile post imekuuma haaa pussy so goooooood
Hahaaa...Mimi siumii na vitu vidogoo..

Ninyo vikongwe mnapanick mnooo..na matusi juuu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39] poleni kwa kukaa selo masaaa 16 pwaaaaah

Punguza presga bibie
 
Hahaha, dah.

Hesabu za umri hata maticha walikuwa hawataki kuziona, nakumbuka mwalimu wetu alikuwa anasema mpelekee hesabu zote kasoro za umri.

Utasikia, sasa sisi tumemzaa mpaka tujue umri wake?
H[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Dada anapenda sana ushirikina,kawachonganisha domo Na zari akajua ataolewa yy,sasa hivi anatapatapa

Niliipenda sana couple yao, ila kuachana kwao simlaumu hamisa ni umalaya wa daimond ndo tatizo, plus familia yake lilikuwa tatizo pia, wao ndo walimpalilia hamisa ili kumtoa zari, na dai mwenyewe hata isingekuwa hamisa trust me angekuwa tu mwingine mana hata kale kadada kalikuwa video queen kwenye uwimbo wa rayvany alikuwa anatembea nacho, kuna yule dilish wa nchi gani cjui kuna huyo wema nasikia bado wanakulana kwa siri
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] vipi dear kwani mmesema nna maisha mazuri...punguza hasira bwanaa...vitu vidogo hvii....!!roho mbaya kwa Zari,Hamisa je!??nyie team Vikongwe mna taaabu!+
Mbona na wewe kikongwe shoga angu. Kwa umri wangu wewe kwangu kikongwe.
Una roho mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyinyi mtu mnanifurahisha sana haaahaaaa
 
Hizi comments za humu zinaniua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niwe msomaji maana leo ninaemkubali kapumzishwa.
Yaaaan mi nacheka hapa mpaka machozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mabest zangu imebidi wakae wameniangalia na kunishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeona eeh!pumzika shoga Angu!!
Bibi kizee kawekwa Massa 16 lock up kwa kufoji umri kwenye passport!!

Naskia make up zote ziliisha wacha wazungu waanze kumkimbia wakijua kua ni Michael Jackson [emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
Haaahaaaaa
 
Back
Top Bottom