Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Shida ni njaa kali sana anategemea mtoto ndio ampe. maisha kwahiyo akizalishwa mtoto wa 3 ndio atakua na uhakika wa maisha
 
Kama anampenda mchizi wacha amzalie watoto! Mapenzi ni upofu
 
ZERO BRAIN aka BASHITE aka NYUMBU.
 
Weka video.
 
Ndiyo la watoto...dada wa taifa alisema la director joan...ila Wema kaenda na dada yake China kununua mzigo ndiyo wanarudi.

Za chini ya kapeti zinasema mond ndiyo kamsponsor

Mange muda mwingine ana umbea fake sana
Afungue tu kila la heri mi nafurahi maana haiwezekani toka alipo mpk Leo anazidiwa mpk na kina aunty hata kama diamond ndo kamsponsa anastahiki haswa...eti huyu ana miaka mingapi[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Me nilimuona pale mlimani city Danube....ofcourse ni mmama mtu mzima tuu!

But kwa hii picha hayuko hivo bana... Hao ni haters wameharibu
Ni mtu mzima etii...43 anafika na kupita[emoji4] [emoji4] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji19] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ila ni mzuri huyu mwanamama nilipenda ngozi yake.

Hamissa huwa simuelewi sijui mlemavu sijawahi muona kasimama kwa kunyooka lazima apinde.
Asipopinda wowowoo...litaonekanaje sasa?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kavaa kigodoro au mbona sielewi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…