Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Screenshot_20180923-194418.png

Leo bado kapewa vyake teh
 
Huyu dada sijui ndo pepo la umaskini au la Ngono linamsumbua, juzi tu domo kakudhalilisha hadharani kuwa unamroga hakutaki, halafu unahojiwa kwenye media kama upo tayari kuzaa na diamond unasema inategemea, hivi wewe zimo kweli kichwani? , Tatizo ni elimu , umaskini au una pepo la ngono
Shida ni njaa kali sana anategemea mtoto ndio ampe. maisha kwahiyo akizalishwa mtoto wa 3 ndio atakua na uhakika wa maisha
 
Huyu dada sijui ndo pepo la umaskini au la Ngono linamsumbua, juzi tu domo kakudhalilisha hadharani kuwa unamroga hakutaki, halafu unahojiwa kwenye media kama upo tayari kuzaa na diamond unasema inategemea, hivi wewe zimo kweli kichwani? , Tatizo ni elimu , umaskini au una pepo la ngono
ZERO BRAIN aka BASHITE aka NYUMBU.
 
Huyu dada sijui ndo pepo la umaskini au la Ngono linamsumbua, juzi tu domo kakudhalilisha hadharani kuwa unamroga hakutaki, halafu unahojiwa kwenye media kama upo tayari kuzaa na diamond unasema inategemea, hivi wewe zimo kweli kichwani? , Tatizo ni elimu , umaskini au una pepo la ngono
Weka video.
 
Ndiyo la watoto...dada wa taifa alisema la director joan...ila Wema kaenda na dada yake China kununua mzigo ndiyo wanarudi.

Za chini ya kapeti zinasema mond ndiyo kamsponsor

Mange muda mwingine ana umbea fake sana
Afungue tu kila la heri mi nafurahi maana haiwezekani toka alipo mpk Leo anazidiwa mpk na kina aunty hata kama diamond ndo kamsponsa anastahiki haswa...eti huyu ana miaka mingapi[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Screenshot_20180923-213041.jpg
 
Me nilimuona pale mlimani city Danube....ofcourse ni mmama mtu mzima tuu!

But kwa hii picha hayuko hivo bana... Hao ni haters wameharibu
Ni mtu mzima etii...43 anafika na kupita[emoji4] [emoji4] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji19] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ila ni mzuri huyu mwanamama nilipenda ngozi yake.

Hamissa huwa simuelewi sijui mlemavu sijawahi muona kasimama kwa kunyooka lazima apinde.
Asipopinda wowowoo...litaonekanaje sasa?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Afungue tu kila la heri mi nafurahi maana haiwezekani toka alipo mpk Leo anazidiwa mpk na kina aunty hata kama diamond ndo kamsponsa anastahiki haswa...eti huyu ana miaka mingapi[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 875777
Kavaa kigodoro au mbona sielewi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom