Binamu mamboz? Njoo PM
Maustadh wenyewe wa wasoma ramli chonganishi hao waganga wanajificha kwenye usheikh ionekane ni Dini, hakuna dua ya kuomba ndoa huku unatoa kafara la mnyama...Kawaida sana hyo kuomba dua kwa maustadhi wala hakuna La ajabu..
Mbaya kufanya shirki I mean kupiga ramli !!
Mond huyu huyu bahili kama nini!?Ndiyo la watoto...dada wa taifa alisema la director joan...ila Wema kaenda na dada yake China kununua mzigo ndiyo wanarudi.
Za chini ya kapeti zinasema mond ndiyo kamsponsor
Mange muda mwingine ana umbea fake sana
Hamisa anapenda kujibinua ili tako lionekane...while tako lenyewe hana kama tukinao tuIla ni mzuri huyu mwanamama nilipenda ngozi yake.
Hamissa huwa simuelewi sijui mlemavu sijawahi muona kasimama kwa kunyooka lazima apinde.
Team yake wanamuona ana shape kali....live sasa kabaya!!Hamisa anapenda kujibinua ili tako lionekane...while tako lenyewe hana kama tukinao tu
Umbea wa Milly huo alisema muda kweli....Mond huyu huyu bahili kama nini!?
Labda sponsor mwingine nakataa sio mond[emoji23] [emoji23]
Afadhali vichambo navyo vinasaidia....kachambwa wee ndo kashtuka sasa hivi kuwa awe na kitega uchumi ila kachelewa asee! Hana mvuto tena
Kabaya kweli nakajua...filter noma aseeTeam yake wanamuona ana shape kali....live sasa kabaya!!
Halafu akiwa hana make up huwa hajiamini!!
Tatizo tamaa ya kununuliwa ghorofa na yeyeHuyu dada sijui ndo pepo la umaskini au la Ngono linamsumbua, juzi tu domo kakudhalilisha hadharani kuwa unamroga hakutaki, halafu unahojiwa kwenye media kama upo tayari kuzaa na diamond unasema inategemea, hivi wewe zimo kweli kichwani? , Tatizo ni elimu , umaskini au una pepo la ngono
naona madem wa jf wanavyomkana mwenzao 😂😂😂😂
statistic zisizo rasmi zinasema wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga
ila sasa ukiwakuta mitandaoni wanavyomshambulia mwenzao 😂😂😂 utasema wao hawadangi...hawarogi...hawategeshi mimba kwa wanaume .hawagombani kisa wanaume daaaah....
all in all tutaendelea kuwapenda tu hakuna namna... where ma ladies at?😍
Kumbe kuna mashindano?? Washindi wanapata kitita au safari ya kwenda sauzi afrika?Nimefuatilia comments zote,,,mpaka dakika hii team zari 10 team hamisa 1.
Team hamisa ongezeni bidii ingawa mko wawili tu,
AHSANTENI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu bwana mi sasa nimehama timu Zari...Ahahaha jamani, sasa si ndo najitahdi kurudi jamani, au sasa hvi sinogi🤣🤣🤣
Hapana atatoboa tuuMond huyu huyu bahili kama nini!?
Labda sponsor mwingine nakataa sio mond[emoji23] [emoji23]
Afadhali vichambo navyo vinasaidia....kachambwa wee ndo kashtuka sasa hivi kuwa awe na kitega uchumi ila kachelewa asee! Hana mvuto tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Team yake wanamuona ana shape kali....live sasa kabaya!!
Halafu akiwa hana make up huwa hajiamini!!
Hamisa anapenda kujibinua ili tako lionekane...while tako lenyewe hana kama tukinao tu
Umemalizaaaaaanaona madem wa jf wanavyomkana mwenzao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
statistic zisizo rasmi zinasema wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga
ila sasa ukiwakuta mitandaoni wanavyomshambulia mwenzao [emoji23][emoji23][emoji23] utasema wao hawadangi...hawarogi...hawategeshi mimba kwa wanaume .hawagombani kisa wanaume daaaah....
all in all tutaendelea kuwapenda tu hakuna namna... where ma ladies at?[emoji7]
AhsanteHamisa ana umbo zuri na shape yake nzuri iwe na hips au isiwe na hips. Zari ana sura nzuri umbo zuri hana umbo limejaa miguu. By the way wote ni warembo. Nashangaa kumchukia Hamisa mkiulizwa sbb za kumchukia mnazo?? Eti.amemchukulia bwana Zari kwani Zari alioelewa haya lets say aliolewa lakini dini yake si inamruhusu Mond kuwa na wanawake zaidi ya 3?? Mimi nadhani kikubwa nachochukia kwa hamisa ni kutokumove yy kama yy akaachna na hilo Domo pendapenda. Ni hicho tuu ndicho anakosea na yote hayo ni kwa sbb anampenda sana huyo Domo.