Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Ndiyo la watoto...dada wa taifa alisema la director joan...ila Wema kaenda na dada yake China kununua mzigo ndiyo wanarudi.

Za chini ya kapeti zinasema mond ndiyo kamsponsor

Mange muda mwingine ana umbea fake sana
Mond huyu huyu bahili kama nini!?

Labda sponsor mwingine nakataa sio mond[emoji23] [emoji23]

Afadhali vichambo navyo vinasaidia....kachambwa wee ndo kashtuka sasa hivi kuwa awe na kitega uchumi ila kachelewa asee! Hana mvuto tena
 
naona madem wa jf wanavyomkana mwenzao 😂😂😂😂

statistic zisizo rasmi zinasema wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga

ila sasa ukiwakuta mitandaoni wanavyomshambulia mwenzao 😂😂😂 utasema wao hawadangi...hawarogi...hawategeshi mimba kwa wanaume .hawagombani kisa wanaume daaaah....

all in all tutaendelea kuwapenda tu hakuna namna... where ma ladies at?😍
 
Huyu dada sijui ndo pepo la umaskini au la Ngono linamsumbua, juzi tu domo kakudhalilisha hadharani kuwa unamroga hakutaki, halafu unahojiwa kwenye media kama upo tayari kuzaa na diamond unasema inategemea, hivi wewe zimo kweli kichwani? , Tatizo ni elimu , umaskini au una pepo la ngono
Tatizo tamaa ya kununuliwa ghorofa na yeye
 
Mkuu kukutanisha vikojoleo maeneo ya faragha ni jambo la kawaida na linafanywa na watu wengi ila sasa sio mkafanye hadharani kisa ni jambo la kawaida linalojulikana na wengi.
naona madem wa jf wanavyomkana mwenzao 😂😂😂😂

statistic zisizo rasmi zinasema wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga

ila sasa ukiwakuta mitandaoni wanavyomshambulia mwenzao 😂😂😂 utasema wao hawadangi...hawarogi...hawategeshi mimba kwa wanaume .hawagombani kisa wanaume daaaah....

all in all tutaendelea kuwapenda tu hakuna namna... where ma ladies at?😍
 
Hamisa ana umbo zuri na shape yake nzuri iwe na hips au isiwe na hips. Zari ana sura nzuri umbo zuri hana umbo limejaa miguu. By the way wote ni warembo. Nashangaa kumchukia Hamisa mkiulizwa sbb za kumchukia mnazo?? Eti.amemchukulia bwana Zari kwani Zari alioelewa haya lets say aliolewa lakini dini yake si inamruhusu Mond kuwa na wanawake zaidi ya 3?? Mimi nadhani kikubwa nachochukia kwa hamisa ni kutokumove yy kama yy akaachna na hilo Domo pendapenda. Ni hicho tuu ndicho anakosea na yote hayo ni kwa sbb anampenda sana huyo Domo.
 
IMG_20180924_135518_193.jpg

Ma mkwe kasema
 
Nimefuatilia comments zote,,,mpaka dakika hii team zari 10 team hamisa 1.

Team hamisa ongezeni bidii ingawa mko wawili tu,
AHSANTENI
Kumbe kuna mashindano?? Washindi wanapata kitita au safari ya kwenda sauzi afrika?
 
Ahahaha jamani, sasa si ndo najitahdi kurudi jamani, au sasa hvi sinogi🤣🤣🤣
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu bwana mi sasa nimehama timu Zari...
 
Mond huyu huyu bahili kama nini!?

Labda sponsor mwingine nakataa sio mond[emoji23] [emoji23]

Afadhali vichambo navyo vinasaidia....kachambwa wee ndo kashtuka sasa hivi kuwa awe na kitega uchumi ila kachelewa asee! Hana mvuto tena
Hapana atatoboa tuu
 
naona madem wa jf wanavyomkana mwenzao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

statistic zisizo rasmi zinasema wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga

ila sasa ukiwakuta mitandaoni wanavyomshambulia mwenzao [emoji23][emoji23][emoji23] utasema wao hawadangi...hawarogi...hawategeshi mimba kwa wanaume .hawagombani kisa wanaume daaaah....

all in all tutaendelea kuwapenda tu hakuna namna... where ma ladies at?[emoji7]
Umemalizaaaaaa
 
Hamisa ana umbo zuri na shape yake nzuri iwe na hips au isiwe na hips. Zari ana sura nzuri umbo zuri hana umbo limejaa miguu. By the way wote ni warembo. Nashangaa kumchukia Hamisa mkiulizwa sbb za kumchukia mnazo?? Eti.amemchukulia bwana Zari kwani Zari alioelewa haya lets say aliolewa lakini dini yake si inamruhusu Mond kuwa na wanawake zaidi ya 3?? Mimi nadhani kikubwa nachochukia kwa hamisa ni kutokumove yy kama yy akaachna na hilo Domo pendapenda. Ni hicho tuu ndicho anakosea na yote hayo ni kwa sbb anampenda sana huyo Domo.
Ahsante
 
Back
Top Bottom