Hizi team zari na hamisa had huku JF kumbe zipo hongereni wenye timu zenu.
Kwa kweli tena ngoja niende Instagram kupumzisha akili yanguBaada ya kazi burudiiiikaaa na JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Umemalizaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akisimama wima anakua mche wa sabuni no hips no takko, ngoja sasa ajikunje kama funza hips zinakuja zitake zisitake
Hata wema sijui wana matatizo gani hawa mademu? Ukiwagusia Mond full kujichekeshaHuyu binti nimesikiliza interview yake akiulizwa kuhusu Mond anacheka cheka tu. Ni mpuuzi kabisa hajielewi
Umedai hamisa ana umri wa miak 23 na amekuwa na nassibu kwa zaidi ya miaka kumi.
Kwa hiyo nasibu alianza kumchanua huyu binti akiwa na miaka 13? Wakati huo huyu binti alikuwa std gani?
Inasemekana Hamisa alimbaka diamond, ndio maana hawakubali yeye na mtoto.... So sad!!!Chezea kukunwa weuwee na hapo ana mpango wa kuitegesha nyingine
Inasemekana Hamisa alimbaka diamond, ndio maana hawakubali yeye na mtoto.... So sad!!!
Hamisa ni mjinga tu yaani zwazwa la kimataifa
Mi hamisa namuona wa kawaida, kawaida kabisa....labda angekua anapost picha akiwa bila make up na too much editing ningeona zaidi ya nionavyo.[/QUOTE
Ukimuona live hutoamini macho yako amekomaa, sura ina kona kama mlima kitonga akisimama kama mstimu ile shape ya ig hakuna...
Ukiwaiga mastaa waweza kujichukia kumbe wako fake kila kitu wana edit aiseeView attachment 876940
Hamisa watu mate yanawatoka waiting kale kashape ka Instagram, wanakuta mtoto umenyooka kama kambale unadisappoint watu ungetupia kigodoro na waist trainer
Kama penny siku hizi daaaah yani picha anazoweka na alivo ni kaskazini na kusiniUkiwaiga mastaa waweza kujichukia kumbe wako fake kila kitu wana edit aisee
Hawezi, hata kupiga picha bila make up hapendiis it only me or someone else has noticed that this mobeto girl looks kinda creepy with those make ups on
looks like a serial killer,aache kujipodoa awe natural
Yani majizo huwa hatajwi kabisa utadhani haexistKule kwa cheepkeez hamisa anadai alikutana na Dai wakati anasoma na alimuonea huruma eti alikuwa na maisha mabovu (dai) sasa baba fansy alikuja wakati gani? Au alikuwa ana date nao wote kwa pamoja? So hamisa alikuwa na dai hata wakati dai yupo na wema, peny, jokate eeh!!
Wonders shall never end kwa hawa selebrit wetu
Alibakwa....