Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Baada ya kazi burudiiiikaaa na JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli tena ngoja niende Instagram kupumzisha akili yangu
 
Umedai hamisa ana umri wa miak 23 na amekuwa na nassibu kwa zaidi ya miaka kumi.

Kwa hiyo nasibu alianza kumchanua huyu binti akiwa na miaka 13? Wakati huo huyu binti alikuwa std gani?

Mambo yalivomchanganyiko possible wakati ana miaka 13 alikua form five
 
Mi hamisa namuona wa kawaida, kawaida kabisa....labda angekua anapost picha akiwa bila make up na too much editing ningeona zaidi ya nionavyo.[/QUOTE
Ukimuona live hutoamini macho yako amekomaa, sura ina kona kama mlima kitonga akisimama kama mstimu ile shape ya ig hakuna...
 
IMG_20180924_220532_489.jpg

Hamisa watu mate yanawatoka waiting kale kashape ka Instagram, wanakuta mtoto umenyooka kama kambale unadisappoint watu ungetupia kigodoro na waist trainer
 
is it only me or someone else has noticed that this mobeto girl looks kinda creepy with those make ups on
looks like a serial killer,aache kujipodoa awe natural
 
Kule kwa cheepkeez hamisa anadai alikutana na Dai wakati anasoma na alimuonea huruma eti alikuwa na maisha mabovu (dai) sasa baba fansy alikuja wakati gani? Au alikuwa ana date nao wote kwa pamoja? So hamisa alikuwa na dai hata wakati dai yupo na wema, peny, jokate eeh!!

Wonders shall never end kwa hawa selebrit wetu
 
Yani majizo huwa hatajwi kabisa utadhani haexist
 
Back
Top Bottom