13 yrs alikua tayari kwa matumizi
Hahahahaha ndoa ndoano alikua anaitafutaWalizusha kuwa Esma katafuta msichana kwenye sauti kama ya hamisa akamrekodi, kumbe ni hamisa mwenyewe masikini anaenda kutafuta ndoa kwenye matunguli.
Hajawahi kuolewa na mganga wa kienyejiWengi tulikwishajuwa kuwa Hamisa ni mchawi kitambo tu.
Alikuwa anaweka msisitizo hahahahahHivi Mama dangote hajui kuandika kwa herufi ndogo??[emoji87] [emoji87]
Ohoo lumberUhusiano wa takribani miaka 10 na yeye bado yupo na miaka 23, Watz tunalaana ya kudanganya inamaana alianza kugegedwa anamiaka 13? Mwambie Hamisa aseme umri wake wa ukweli
Matokeo yake ya form four yapo hadi insta "alitaga" waja wakiamua kukukalia kooni shidaSiku moja wakati bado nina account ya instagram nilifuatilia account ya huyu dada....nikaona baadhi ya vitu alivyoandika nikagundua SHULE LESS nikamshusha vyeo mpaka sishangai chochote juu yake. Shule muhimu sana hapa Tanzania. Mbele huko ndo kuna celebs hawana shule tu na akili zao zimetulia.
Hamisa hajafanya plastic surgery usoni hizo make up akioga zunatoka
Mambo muhimu ya kuzingatia
1. Ni kweli analoga ili awe na Mondi
2. Kipigo ni kweli alikipata kutoka kwa final say teh teh
3. Anachojali ni fame na pesa hata adhalilishwe vip
4. Yuko tayari kuzaa tena na Mondi pamoja na yote (kigugumizi na kusema Hana uhakika)
5. Hawezi gombana na mwanamke mwenzake kwaajili ya Mwanaume Ila Mondi anaweza (tujikumbushe pussy so good na mambo ya old porn star)
Hitimisho
Sasa dai analogwa na wangapi familia bado Wanawake!
Apunguze ujinga Mondi grow the f*ck up !
Hamisa that's what so called KARMA don't play innocent or victim
Hajawahi kuolewa na mganga wa kienyeji