Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Siku moja wakati bado nina account ya instagram nilifuatilia account ya huyu dada....nikaona baadhi ya vitu alivyoandika nikagundua SHULE LESS nikamshusha vyeo mpaka sishangai chochote juu yake. Shule muhimu sana hapa Tanzania. Mbele huko ndo kuna celebs hawana shule tu na akili zao zimetulia.