Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Wanaume ndio maana tunatembea uchi na kuokota makopo
Sasa upate mademu watatu wa hivi dua tatu sikuijie si ma file ya windows kwenye ubongo yana corrupt yote
Una madem watatu mmoja anakuloga umpende, mmoja anakuloga umhonge, mwingine anakuloga usione mwingine zaidi yake wanaume mnapata tabu sana.
 
Una madem watatu mmoja anakuloga umpende, mmoja anakuloga umhonge, mwingine anakuloga usione mwingine zaidi yake wanaume mnapata tabu sana.
Lazima ufanikiwe,hao wote wanakuroga upate hela
 
Anakataaga hivi hivi,mwisho wa siku utasikia anamimba ya huyo huyo.Sisi tunawangalia tunawacheck iiishii!

Mimba ya tatu kwa baba watatu loading, ajitahidi amtegeshee tena diamond kama bado anahitaji kuzaa, ila hii kuzaa zaa tu na watu tofauti hata sio hapo ni 23yrs kama asemavyo akifika 40 si atakua kama bata!!!
 
Analilia nyumba
Analilia ndoa
Anaomba sheikh amsomee dua!

Mabinti zetu bado sana! Wenzenu wanalilia mitaji ya biashara ili waweze kusimama wenyewe... Lakini pia kwa ukubwa wa jina lake huko Instagram na mashauzi yote yale kumbe bado anapanga?
Eeh Mungu baba wasaidie vijana wako hawa
 
Mashehe nao wanakuwaga SHILAWADU?
 

Sio tu kupanga amepangishiwa, anahaha kodi ikiisha itakuaje sasa ndo kishatibuana na mlipa kodi sijui itakuaje.

Ndo walivo mastaa uchwara, uwoya, wema wote wamepanga ilhali ya kuwa wanatuonesha maisha mazuri Instagram.
 
Hahaaa We Evelyn Salt, umenichekesha sana hayo wanaume hatuyaepuki. Kuna mkoa fulani niliwahi kuishi ukiwa na uhusiano na binti anaenda kwa bibi yake au ndugu yake ambaye ni mzima. Anampa mambo utajikuta umeowa bila kujielewa

Pale kanda ya kati nini!!! Wale nasikia hata akija kufanya kazi za ndani anaagizwa kabisa "jitahidi sana we ndo ukawe mama mwenye nyumba"
 
13 hapo ndio diamond walai huyu mtoto kaliwa akiwa na miaka 8 kwasababu na uhakika 100% siyo diamond aliyetoa bikira alafu kingine alikuwa na diamond kwenye na majizo kwa pamoja
 
Pale kanda ya kati nini!!! Wale nasikia hata akija kufanya kazi za ndani anaagizwa kabisa "jitahidi sana we ndo ukawe mama mwenye nyumba"
Angalia Sana kanda ya kati na nyanda za juu kusini, ukimleta binti wa kazi usije ukajikuta umepinduliwa, kuna mzee mmoja Maeneo ya Bunju alijenga nyumba miaka ya 2000mwanzoni akamtafuta mgogo awe anaishi hapo yaliyomkuta hana hamu na nyumba alimuachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…