Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Wiki kadhaa zimepita hamisa alikua na skendo ya kwenda kwa mganga, habari ikiwa ni kumloga mama dangote ili ampende na pia mzazi mwenzie wa pili diamond platinum ili amuoe na ampe nyumba kwani wamekua katika uhusiano muda mrefu sana yapata miaka kumi, lakini jamaa haoneshi dalili yoyote bali amekua kama menstrual cycle anaenda na kurudi anaenda na kurudi.

Mrembo huyo kwenye miaka 23 kwa sasa, ameonekana kuchoka kuchomeshwa mahindi miaka 10 yote (maana hiyo alikua na diamond akiwa na miaka 13).

Katika interview aliyofanya leo amekiri ile voice note ni yeye kweli ila alikua anaongea na sheikh kwa ajili ya dua (sheikh anaagiza kondoo kwa ajili ya dua koh koh), pamoja na hilo hamisa amefunguka kunusurika kichapo kutoka kwa mama diamond ambapo alifanikiwa kuchoropoka mama akabaki na wigi mkononi.
Numbisa utasaidia kuattach interview
IMG_20180921_214857_463.jpg
 
View attachment 873771
Uhusiano wa takribani miaka 10 na yeye bado yupo na miaka 23, Watz tunalaana ya kudanganya inamaana alianza kugegedwa anamiaka 13? Mwambie Hamisa aseme umri wake wa ukweli
 
Back
Top Bottom