HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
3,018
Reaction score
4,369
nina furaha kubwa kuwa heslb watema majina ya waliokosa mkopo pamoja na sababu zao..nenda loan results utaona.Nashukuru mungu dogo kapata.kila la kheri wana ndugu
 
Mi nimeona jina langu kwenye page ambayo jamaa mmoja alikua nayo. Wameonesha kabisa na loan breakdown. Thank you God. Ila sitaacha kutetea wale waliokosa kwani najua hali niliyokua nayo kabla ya habari hizi. Inauma sana kunyimwa mkopo usiombe ikukute.
 

duuh..!kweli nimeamini usiombe yakukute bora uyasikie tu..ni nzuru wametoa na breakdown..!thanx God mdogo wangu ana furaha,umaskini huu acha tu..ni kushuru Mungu Mkuu..tutapigana kwa ajili ya wengne..
 
Namshukuru Mweneyezi Mungu japokuwa mdogo wangu kakosa tena na anasomea ualimu.
Yote Ni Mipango Ya Mwenyezi.
 
Namshukuru Mweneyezi Mungu japokuwa mdogo wangu kakosa tena na anasomea ualimu.
Yote Ni Mipango Ya Mwenyezi.

Dah, Jifungeni Mkanda Ili Dogo Asome ndio nchi yetu ilivyo.
 
Namshukuru Mweneyezi Mungu japokuwa mdogo wangu kakosa tena na anasomea ualimu.
Yote Ni Mipango Ya Mwenyezi.

hyo ni batch ya pili unaanza kuogopa hvo,huwa kuna batch hadi 20,so ucogope sana about ur mdogo,atapata 2.
 
utakuta sasa wale mliopata mnawetenga ambao bado na kusahau kua shida mlikua nayo wote
 
hyo ni batch ya pili unaanza kuogopa hvo,huwa kuna batch hadi 20,so ucogope sana about ur mdogo,atapata 2.
Kumbe huwa wanatoa kwa kubeep hivi,doh!Maana wale wa due to budget exhaustion sijaona kwenye hii batch ya 2,hope watatoa nyingine soon!
 
Waungwana nimechezea za pua kwa mara ya pili, tuombe mungu kuwe na batch nyengine, maana hii naona watu wa equivalent nao wamewakumbuka, maana kuna index number za mpk 1990.
 
Hakuna jipya ni mambo ya kijinga mno. Zaidi tukisha ungana ndipo tutaanza ukwere, ukapa, ukawa mbwa, nk hadi suluhu. Kumbe pesa zipo! Nimeona kaka wamepanda mbegu ya bomoa bomoa wenyewe wangoje matunda yake sasa. Hii nchi haiendelei kwa shahada za elimu pekee ila kila shahada ina mchango wake kwenye maendeleo ya nchi hii, sasa wanavyotutenga watoto wa wakulima kisa nimeomba Bsc in Geology, chemical processing, mineral processing nk ndipo ubaya na fujo vinajitokeza.
 
Majina yanazidi kujiongeza vuta subira kijana! Kama ipo ipo tu.
 
Zamani likuwa raha sana,haya mambo HSLB ni kero.
 
Bora tu. Ili wapungue pungue waliokosa mkopo.
 
Namshukuru Mweneyezi Mungu japokuwa mdogo wangu kakosa tena na anasomea ualimu.
Yote Ni Mipango Ya Mwenyezi.

Watu kushindwa kutimiza wajibu eti Mungu, Basi lipindike kwa uzembe wa dreve, Eti mipango ya Mungu!!! Mungu gani huyo hataki wengine wasome. Anyway kila mtu ana Mungu wake. After all Mungu is not a concept. Your God is not the same as mine anyway.
 
kumekucha mkaanze matangazo baa na kwenye night clubs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…