HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

Achen Utoto Bac Uzi wa cku Nying hv..PU MPA FU...umeniharbia Cku..
 
Sasa muanze kuongeza umaarufu kwenye night club!!!

tena wajao huku bongo...!

muwe macho! wengine pesa za miezi miwili huwa zinaisha ndani ya mwezi mmoja!!

eti huku wakijidanganya wapate kick ya kusoma!!!

baada ya hapo sasa!!

utasikia 001 , 010, 100 wengine mpaka kufa kwa njaa!!!
 
Mbona,sioni majina hayo mnayosema?wameweka wap?web yao sioni,chochote.
 
nina furaha kubwa kuwa heslb watema majina ya waliokosa mkopo pamoja na sababu zao..nenda loan results utaona.Nashukuru mungu dogo kapata.kila la kheri wana ndugu

Mbona sijaona mkuu hayo majina?
 
nina furaha kubwa kuwa heslb watema majina ya waliokosa mkopo pamoja na sababu zao..nenda loan results utaona.Nashukuru mungu dogo kapata.kila la kheri wana ndugu
Mamamako unastahili kupigwa Ban!! majina ya mwaka 2011 ndo unapost hapa? Nyambfff!!
 
Wewe ulipatikana kwenye mbio za mwenge ndio maana una akili za kiguest house..
 
Msiwe na wac nyie wenye div 3...najua mnawenge sana, mtapata mkopo!lkn kama mlichagua education
 
pelekeni utoto wenu huko kama hamna vya kucomment kaa kimya!
 
oy yanapatikana wap hayo majina msaada tafadhari??/
 
Zero minded ppl like u shouldnt b left alive, had it bn legal to kill. U aint b serious.
 
Na msisahau kusema hiyo inglishi kozi mmejifunzia wapi..
 
acha ujinga kijana unadhihirisha kuwa kuna matatizo katika elimu yako....kuwa na akili some time sio unapost tu kisa umejisikia kupost....
 
Back
Top Bottom