HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..


Nisaidieni kujua hayo majina nayapata vipi??
 
Wadau msaada vp barchelor of commerce in banking and financial services ikoje wadau coz nimechaguliwa udsm .naomba ushauri please
 
Hili jukwaa siku hizi limekuwaje? Yaani nyuzi zake zimekua kama nyimbo za mwanamuziki flani hapa nchini kwa maana ya kujaa mipasho, kutukanana na kusutana humohumo.
 
Safii kwa kuchangamsha akili za watu.Mjifunze kujua vyanzo za habar sio kila utakachoambiwa JF ni sahihi.
 
hahahaha kumbe post ya zamaaaani mnatupa presha tu hapa
 
mod`s tunaombba threats zote zinazopostiwa wakati sio current ziondolewe coz zinatutia presha bure hapa nimehangaika kuangalia kila website kumbe post yenyewe ya mwaka 2011
 
Nenda kwa wamachinga ukawape habari ya mwaka 2011. Sisi tunataka breaking news.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…