Hatimaye Hotel ya Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi 'Sugu' yafunguliwa

Hatimaye Hotel ya Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi 'Sugu' yafunguliwa

Mr Kipago

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
597
Reaction score
622
upload_2017-9-1_11-50-23.png

Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ alianza kuijenga hoteli yake toka mwaka 2016 jijini Mbeya na aliweka wazi kabisa kwamba alipata mkopo wa kuijenga kutoka CRDB BANK.

Itafahamika kwa jina Hotel Desderia

Tayari hoteli imefunguliwa na kuna nafasi za kulaza wageni kwenye room zilizojengwa kisasa lakini pia hata kwa chakula ni bora ambapo mchakato wa kumpata Mpishi ulipatikana kwa njia ya usaili, ukitazama kwenye hizi picha hapa chini utaona chakula alichokitoa Mpishi alieshinda kwenye huo usaili.
upload_2017-9-1_12-3-10.png

Mojawapo ya sample iliyoandaliwa kwenye usaili

upload_2017-9-1_11-51-0.png

muonekano wa nje

upload_2017-9-1_11-51-53.png

Padri akinyunyizia maji ya baraka kuizunguka hotel

upload_2017-9-1_11-52-50.png

baadhi ya wageni wakipata huduma


Hongera umehustle sana na maisha
Politics ni ajira nzuri naona umuhimu wa wizara ya elimu kuongeza somo la siasa kwenye mtaala ili watu waijue miiko yake kwa sababu watu wengine ni wabwabwajaji kama baadhi ya viongozi wa siasa kutoka ccm na upinzani, siasa inakumfanya mtu kuwa brand kubwa na uwezekano wa kuitumia kibiashara upo.

Sugu ni akili kubwa hutosikia akiburuzwa mahakamani na serikali kila leo hana muda huo he is always thinking of business.

Thumb Up kwa Mh Sugu au Jongwe kama yeye anavyopenda kujiita

Source millard
 

Attachments

  • upload_2017-9-1_11-49-43.png
    upload_2017-9-1_11-49-43.png
    392.3 KB · Views: 301
iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.

mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn


Mkuu soma tena hapo juu utaelewa, mleta mada kaelezea ni mradi aliouanzisha baada ya kufanikisha mkopo kutoka CRDB Bank.
 
iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.

mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Nimesoma maelezo hapo juu nikwamba amechukua mkopo CRDB Bank!
Btw hongera zake mzazi mwenzie nae kafanya maendeleo kaongeza mtoto wa pili[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera zake SUGU, aitangaze, ai promote irudishe hela CRDB aanze kula matunda yake, ni maendeleo mazuri, ajira, kuikuza Mbeya kiutalii na yeye mwenyewe kupata mapeni..Kudos
 
Back
Top Bottom