evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
Umecomment bila kusoma Uzi...akili yako ya ajabu sana...iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Umepoteza muda kuandika ujinga..comment yako majibu yote yapo hapo juu