evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
Umecomment bila kusoma Uzi...akili yako ya ajabu sana...iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Njaa huleta hasira sanaTafuta hela kijana sio nonsense hizi
Siasa inalipaaanabiashara gani huyu mwakilishi wa mbeya mjini.
Nonsense ni kuwa mwizi wa avatar!Tafuta hela kijana sio nonsense hizi
Siku nyingine usome kwanza kwanza!anabiashara gani huyu mwakilishi wa mbeya mjini.
Na wewe umeanza NGEBE!!! Akipata mwenzako wewe unaumia sana eti!!!!Tafuta hela kijana sio nonsense hizi