Hatimaye HSLB wajibu madai ya wanafunzi

Hatimaye HSLB wajibu madai ya wanafunzi

emanuel kiduvilo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
165
Reaction score
20
Bod ya mikopo baada ya kuchelewesha fedha za field kwa wanafunz wa elimu ya juu hatimaye jana wamewekewa hao wanafunzi hii n baada ya timbwili la wanafunz wa udsm pale nkurumal hall sk ya jpil kweli hii serikal bila timbwil haiend
 
hongereni lakini punguzeni starehe maana mkipataga hizo fedha ni debe sana...
 
Bod ya mikopo baada ya kuchelewesha fedha za field kwa wanafunz wa elimu ya juu hatimaye jana wamewekewa hao wanafunzi hii n baada ya timbwili la wanafunz wa udsm pale nkurumal hall sk ya jpil kweli hii serikal bila timbwil haiend

duu hiyo ni udsm to mbona sua bado njaa Kali jamani
 
mbona siye tumepewa kitambo sana wiki moja baada ya ue
 
Back
Top Bottom