inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwa hiyo Vita vimeisha,kesho habari za Vita Gaza hazitokuwepokwa bahati mbaya huu ndio ukweli, hakuna hata fake news. israel wameteka gaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Vita vimeisha,kesho habari za Vita Gaza hazitokuwepokwa bahati mbaya huu ndio ukweli, hakuna hata fake news. israel wameteka gaza.
kesho tukiamka wanawapa masaa 4, masaa hayo yakiisha yaliyobaki yote ni kipigo. hayo masaa manne askari wa israel watawaongoza raia kupita maeneo salama, masaa 20 yaliyobaki ni kipigo.Kwa hiyo Vita vimeisha,kesho habari za Vita Gaza hazitokuwepo
Israel si washamaliza kila kitu,Teka makao makuu, mchezo umeisha!!kesho tukiamka wanawapa masaa 4, masaa hayo yakiisha yaliyobaki yote ni kipigo. hayo masaa manne askari wa israel watawaongoza raia kupita maeneo salama, masaa 20 yaliyobaki ni kipigo.
Sawa na kunywa uji wa mgonjwaJamaa wanajificha hospital Hawaoni aibu wanaume wazima
Sio General Chemical Ali, alikuwa anaitwa General Mohammed Al Sahaf alikuwa waziri wa habari wa Iraq wakati wa utawala wa dikteta Saddam Hussein.majinga kama ninyi huwa kama ali kemikali wa iraq ambaye mabomu yapigwa baghdad live lakini anasema marekani hawajaingia iraq😂
Source sio unatulea stori za kijiweniHatimaye Jeshi la Israel limeweza kuitwaa ngome kuu ya Hamas katikati mwa JIJi la Gaza. Ngome hiyo maarufu Kama Central Hamas Military quarter iliyopakana na hospitali ya eneo la Shifa.
Kikosi Cha 162 Cha IDF kilichotwaa ngome hiyo kimefanikiwa kuwaua wapiganaji wa Hamas 50 na kwa Sasa wanamalizana na wapiganaji wachache waliojificha kwenye Hospitali ya Shifa.
IDF iliamuru raia wote waliokuwepo ndani kwenye Hospitali hiyo watoke ili imalizane na wapiganaji hao wa Hamas waliojificha kwenye Hospitali hiyo. Raia walitii wito huo na kujikusanya kwenye uwanja nje ya Hospitali hiyo wakisubili IDF wamalizane na hao wapiganaji. Inasemekana Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar yupo humo ndani.
Ngome hiyo ya Hamas ya Central Hamas Military Quarter ilikuwa na ofisi kuu zifuatazo.
1. Ofisi kuu ya ujasusi wa Hamas.
2. Makao ya Polisi wa Hamas.
3. Ofisi kuu ya masuala ya kijeshi
4. Ofisi kuu ya mambo ya kisiasa ya Hamas.
Kwa Sasa kazi iliyobakia ya IDF ni kuharibu mfumo wa mahandaki wa Hamas, ambao walikuwa wamejipanga kweli kwa kuujenga mahandaki yenye mifumo ya hewa na maji.