Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Yeah ni tar 1/05/2025
Kwanza utegemee mabango ya Pongezi na nyimbo za kusifia kwa 100%
Baadae utasikia tumeongeza mishahara, tumelipa madeni na TUTAENDELEA KUBORESHA MASLAHI..
kisha watapiga vigelele siku imepita..
Ukweli wa mambo
Wafanyakazi wana maisha magumu, Hawana nyumba za kuishi (au kulipwa posho ya makazi na chakula)
Nyongeza ya mshahara pia inatolewa kimagumashi labda mpaka uwe kada., Kuna halmashauri nauli za likizo wanalipa baada ya miaka mitatu...
Kodi ni kubwa kwenye mishahara ya watumishi...
N.k