Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Na watadanganywa kama kawa.Yeah ni tar 1/05/2025
Kwanza utegemee mabango ya Pongezi na nyimbo za kusifia kwa 100%
Baadae utasikia tumeongeza mishahara, tumelipa madeni na TUTAENDELEA KUBORESHA MASLAHI..
kisha watapiga vigelele siku imepita..
Ukweli wa mambo
Wafanyakazi wana maisha magumu, Hawana nyumba za kuishi (au kulipwa posho ya makazi na chakula)
Nyongeza ya mshahara pia inatolewa kimagumashi labda mpaka uwe kada., Kuna halmashauri nauli za likizo wanalipa baada ya miaka mitatu...
Kodi ni kubwa kwenye mishahara ya watumishi...
N.k
Ma CCM yanapenda kuwaona watanzania wakiwa maskini wakutupwa na wanaishi katika utumwa maisha Yao yote. Mbwa nyie Ma CCMYeah ni tar 1/05/2025
Kwanza utegemee mabango ya Pongezi na nyimbo za kusifia kwa 100%
Baadae utasikia tumeongeza mishahara, tumelipa madeni na TUTAENDELEA KUBORESHA MASLAHI..
kisha watapiga vigelele siku imepita..
Ukweli wa mambo
Wafanyakazi wana maisha magumu, Hawana nyumba za kuishi (au kulipwa posho ya makazi na chakula)
Nyongeza ya mshahara pia inatolewa kimagumashi labda mpaka uwe kada., Kuna halmashauri nauli za likizo wanalipa baada ya miaka mitatu...
Kodi ni kubwa kwenye mishahara ya watumishi...
N.k
epuka uropokaji gentlemanWakiongozwa na Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah
Ndo uhalisia huoepuka uropokaji gentleman
Mmeshapata vitenge na Tshirt?? πYeah ni tar 1/05/2025
Kwanza utegemee mabango ya Pongezi na nyimbo za kusifia kwa 100%
Baadae utasikia tumeongeza mishahara, tumelipa madeni na TUTAENDELEA KUBORESHA MASLAHI..
kisha watapiga vigelele siku imepita..
Ukweli wa mambo
Wafanyakazi wana maisha magumu, Hawana nyumba za kuishi (au kulipwa posho ya makazi na chakula)
Nyongeza ya mshahara pia inatolewa kimagumashi labda mpaka uwe kada., Kuna halmashauri nauli za likizo wanalipa baada ya miaka mitatu...
Kodi ni kubwa kwenye mishahara ya watumishi...
N.k
Wameshaambiwa wafanyakazi hawamdai Mama....mwaka huu hakuna agenda ni promise watu wapate kura zao.....Yeah ni tar 1/05/2025
Kwanza utegemee mabango ya Pongezi na nyimbo za kusifia kwa 100%
Baadae utasikia tumeongeza mishahara, tumelipa madeni na TUTAENDELEA KUBORESHA MASLAHI..
kisha watapiga vigelele siku imepita..
Ukweli wa mambo
Wafanyakazi wana maisha magumu, Hawana nyumba za kuishi (au kulipwa posho ya makazi na chakula)
Nyongeza ya mshahara pia inatolewa kimagumashi labda mpaka uwe kada., Kuna halmashauri nauli za likizo wanalipa baada ya miaka mitatu...
Kodi ni kubwa kwenye mishahara ya watumishi...
N.k
uropokaji ndio uhalisia right gentleman?Ndo uhalisia huo
Kofia tuMmeshapata vitenge na Tshirt?? π
Kesho mama Hapaishi Penati! Ongezeko la minoti lazima...Yeah ni tar 1/05/2025
Kwanza utegemee mabango ya Pongezi na nyimbo za kusifia kwa 100%
Baadae utasikia tumeongeza mishahara, tumelipa madeni na TUTAENDELEA KUBORESHA MASLAHI..
kisha watapiga vigelele siku imepita..
Ukweli wa mambo
Wafanyakazi wana maisha magumu, Hawana nyumba za kuishi (au kulipwa posho ya makazi na chakula)
Nyongeza ya mshahara pia inatolewa kimagumashi labda mpaka uwe kada., Kuna halmashauri nauli za likizo wanalipa baada ya miaka mitatu...
Kodi ni kubwa kwenye mishahara ya watumishi...
N.k
no reform no electionSasa wewe kama sio mfanyakazi unakerwa na nini?Mind your own fucking business.Wao wafanyakazi ndio wana haki ya kulalamika kama mishahara haiwatoshi.
Ni yale yale..Km una yatokanayo na mei mosi iliyopita tukumbushane kabla ya kuendelea na mpya
Nimegee fungu languuropokaji ndio uhalisia right gentleman?