Hatimaye 'imevuja' rasmi Kujaa hadi 'Pomoni' vile kwa Mzee Mkapa 'Wapuuzi Day' kumbe ukikutwa nje unapewa Jezi ya 'Kubumba' na Kuingizwa bure!

Nilishangaa sana na mno kwani Mashabiki wa Nyani Mbwa Sokwe FC ninaowafahamu Mimi Kwanza hawana Hela ( nikimaanisha wengi wao ni Masikini na Choka Mbaya ) kama Mimi GENTAMYCINE halafu pia ni 'Wabahili' kumzidi hata Kocha Arsene Wenger na Profesa Ibrahim Lipumba eti 'wamethibutu' kabisa 'Kuujaza' ule Uwanja katika Kilele chao cha 'Wapuuzi Day' Jumapili iliyopita.

Sasa mkiambiwa kuwa duniani hakuna 'Siri' tena taarifa kutoka kwa Watu wasiopenda kabisa Uwongo na Sifa za 'Kijinga' waliopo huko huko kwa waliokuwa na 'Wapuuzi Day' wamesema kuwa ili Kuwajibu Simba SC na 'Kutoaibika' kwa 'Dimba' la Hayati Temeke Stadium 'Kutokujaa' ilibidi zitengenezwe Jezi za 'Kubumba' kisha zigawiwe kwa Watu waliokuwa nje na Kuamriwa Kuingia bure.

Najua kama kawaida kuna ambao 'Mtabisha' hapa hivyo nawaombeni nendeni pale ilipo Baa ya Mianzini mumtafute Sele 'Kiguru' na wengine nendeni pale Baa ya kwa Chichi mtafuteni Mtu aitwae Kambarage ambao hawa wote huwa ni Waangalizi wa 'Magari' yenu mnayopaki pale ili wawapeni Ukweli huu wote na mengineyo ambayo hamkuyajua kama ya hadi 'Kuroga' Mechi ile tu ya Jana.

Taratibu sasa mnaanza Kuumbuka na Kuumbuana pia!
Ukisha jitiaga kidole tu, lazima ukimbilie maskani kutunukisha wauni, sio?
Leo umetukuta tuna kula, utatutapisha.
 
Me mwenyewe nilipewa kabumba aisee halafu hata mpango wa kuingia, nilikuwa napita kwenye mishe zangu tu! Kulikuwa na fungulia mbwa...
 
Mianzini Kuna mwanangu para pale, NGOja tamcheki anipe mango

Ukimkosa huyu ulizia kuna Dereva Teksi Mmoja hapo 'Maarufu' sana kwa Kucheza 'Kung Fu' jina nalihifadhi nae atakupa huu Ukweli wa Yanga SC.
 
Sio sawa kwa usalama wao.

Kwani ni Wahujumu Uchumi wa Tanzania? Sikia hebu acha 'Kunitibua' kisha 'nikakuchenjia' kwa Jibu moja ambalo litakufanya 'Unichukie' tu sawa?
 
Ukimkosa huyu ulizia kuna Dereva Teksi Mmoja hapo 'Maarufu' sana kwa Kucheza 'Kung Fu' jina nalihifadhi nae atakupa huu Ukweli wa Yanga SC.
Mkuu genta umeongea ukweli kabsa, Mimi ni shabidi nilipewa jezi bure na kuingia bureee kabsaaa!
 
Basi . Hawa Lishe wana HELA. sidhani kama nyie watoto wa Bugiri namweza kugawa JEZI hata za kubumba bure, achilia kuwapaka Goldstar wanaoingia
 
Kwani ni Wahujumu Uchumi wa Tanzania? Sikia hebu acha 'Kunitibua' kisha 'nikakuchenjia' kwa Jibu moja ambalo litakufanya 'Unichukie' tu sawa?
Genta mimi huniwezi let me not remind you why you were banned for so soo long!

Kwenye upumbavu niko mbele yako sana.
 
Back
Top Bottom