Hatimaye 'imevuja' rasmi Kujaa hadi 'Pomoni' vile kwa Mzee Mkapa 'Wapuuzi Day' kumbe ukikutwa nje unapewa Jezi ya 'Kubumba' na Kuingizwa bure!

Ukisha jitiaga kidole tu, lazima ukimbilie maskani kutunukisha wauni, sio?
Leo umetukuta tuna kula, utatutapisha.
 
Me mwenyewe nilipewa kabumba aisee halafu hata mpango wa kuingia, nilikuwa napita kwenye mishe zangu tu! Kulikuwa na fungulia mbwa...
 
Mianzini Kuna mwanangu para pale, NGOja tamcheki anipe mango

Ukimkosa huyu ulizia kuna Dereva Teksi Mmoja hapo 'Maarufu' sana kwa Kucheza 'Kung Fu' jina nalihifadhi nae atakupa huu Ukweli wa Yanga SC.
 
Sio sawa kwa usalama wao.

Kwani ni Wahujumu Uchumi wa Tanzania? Sikia hebu acha 'Kunitibua' kisha 'nikakuchenjia' kwa Jibu moja ambalo litakufanya 'Unichukie' tu sawa?
 
Ukimkosa huyu ulizia kuna Dereva Teksi Mmoja hapo 'Maarufu' sana kwa Kucheza 'Kung Fu' jina nalihifadhi nae atakupa huu Ukweli wa Yanga SC.
Mkuu genta umeongea ukweli kabsa, Mimi ni shabidi nilipewa jezi bure na kuingia bureee kabsaaa!
 
Basi . Hawa Lishe wana HELA. sidhani kama nyie watoto wa Bugiri namweza kugawa JEZI hata za kubumba bure, achilia kuwapaka Goldstar wanaoingia
 
Kwani ni Wahujumu Uchumi wa Tanzania? Sikia hebu acha 'Kunitibua' kisha 'nikakuchenjia' kwa Jibu moja ambalo litakufanya 'Unichukie' tu sawa?
Genta mimi huniwezi let me not remind you why you were banned for so soo long!

Kwenye upumbavu niko mbele yako sana.
 
Genta mimi huniwezi let me not remind you why you were banned for so soo long!

Kwenye upumbavu niko mbele yako sana.

Ndiyo umendika 'Upopoma' gani huu hapa?
 
Mkuu genta umeongea ukweli kabsa, Mimi ni shabidi nilipewa jezi bure na kuingia bureee kabsaaa!
Kwahyo shati yako au furana yako uliiacha wapi au ulipewa na kabati ili uihifadhi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…