Hatimaye Isindigo imeisha rasmi ITV ilikuwa the best soap opera

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Leo hatimaye Isindigo the need imeisha rasmi ITV japokuwa South iliisha muda baada ya kuonyeshwa kwa miaka 21 mfululizo.

Wengine tumekua nayo toka watoto mpaka now watu wazima tuna watoto pia.

Ni tamthlia ambayo kwangu ilikuwa bora kabisa kuliko tamthilia yoyote niliyowahi kutazama.

Nilitamani iendelee ila ilikuwa haiwalipi tena maana ilikuwa imepoteza watazamaji kwa kiasi kikubwa hivyo SABC hawakuwa na namna zaidi ya kuimaliza.
 
Ok
 
Waigizaji nao walianza wakiwa watoto wamekwenda nayo mpaka wamezeeka
 
Leo hatimaye Isindigo the need imeisha rasmi ITV japokuwa South iliisha muda baada ya kuonyeshwa kwa miaka 21 mfululizo.
Wengine tumekua nayo toka watoto mpaka now watu wazima tuna watoto pia.
Ni tamthlia ambayo kwangu ilikuwa bora kabisa kuliko tamthilia yoyote niliyowahi kutazama.
Nilitamani iendelee ila ilikuwa haiwalipi tena maana ilikuwa imepoteza watazamaji kwa kiasi kikubwa hivyo SABC hawakuwa na namna zaidi ya kuimaliza.
Duh kweli dunia imefika mwisho, hadi Isidingo imeisha, very sad.
Imetukuza tangu tukiwa wadogo, enzi za kina Mbuso T, Derick Nyati, Mathabane family, Papa G, Nandipa, Leti etc
 
Sitamsahau mbabe na business rogue,Barker hayes na familia yake,Rajesh kumar,

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna group flan la whats app nipo, jana uli post hii habari nilipo iona hapa JF nime ditect huenda ww ndio yule uli post hii habar ktk group la whats app
 
Eeeeh.....nakumbuka Kuna tamthilia ya kijapani ITV...iliitwa Oshin[emoji16][emoji16][emoji16]....
Nimeikumbuka Sana...

Isidingo. Nliangalia Sana...ila nikaja achana nayo
Oshin ndo ile yule mwanamke anayepitia misukosuko ya maisha?
 
Eeeeh.....nakumbuka Kuna tamthilia ya kijapani ITV...iliitwa Oshin[emoji16][emoji16][emoji16]....
Nimeikumbuka Sana...

Isidingo. Nliangalia Sana...ila nikaja achana nayo
Umenikumbusha utotoni nimerudi tena YOU TUBE kuiangalia. Ndiye yule mwanamke niliyemkusudia, tamthilia ya kijapani. Nimeikumbuka na Journey to the west.

Sijui ni Capital TV au ni nini ile? Kila jumapili ilikuwa inaonyesha movie za kihindi 2003 au na 2004. Kuna series ya kihindi inaitwa Ganga Maiya kila siku ya Jumapili.

Kuna Days of Our Lives
Kuna The Bold and the Beautiful.
Kuna tamthilia waliionyesha ITV inaitwa Acapulco bay!

Kipindi hicho naangalia katuni vibaya! Cha kusikitisha mpaka sasa sijaacha kuangalia katuni.
 
Back
Top Bottom