mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
WA Shebeen.Namkumbuka Slu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WA Shebeen.Namkumbuka Slu!
George zamdelaDuh kweli dunia imefika mwisho, hadi Isidingo imeisha, very sad.
Imetukuza tangu tukiwa wadogo, enzi za kina Mbuso T, Derick Nyati, Mathabane family, Papa G, Nandipa, Leti etc
Like la donKuna group flan la whats app nipo, jana uli post hii habari nilipo iona hapa JF nime ditect huenda ww ndio yule uli post hii habar ktk group la whats app
La jamaa don wa magariKuna group flan la whats app nipo, jana uli post hii habari nilipo iona hapa JF nime ditect huenda ww ndio yule uli post hii habar ktk group la whats app
Duh kwa kweliLeo hatimaye Isindigo the need imeisha rasmi ITV japokuwa South iliisha muda baada ya kuonyeshwa kwa miaka 21 mfululizo.
Wengine tumekua nayo toka watoto mpaka now watu wazima tuna watoto pia.
Ni tamthlia ambayo kwangu ilikuwa bora kabisa kuliko tamthilia yoyote niliyowahi kutazama.
Nilitamani iendelee ila ilikuwa haiwalipi tena maana ilikuwa imepoteza watazamaji kwa kiasi kikubwa hivyo SABC hawakuwa na namna zaidi ya kuimaliza.
Yule jamaa Pastor Gabriel ni master piece sana yaani nilikua namkubali sana scene zake.... kuna hii moja Calvin Xavery alitekwa huko anaripoti war field ikabidi baba yake apange kumfata ila akawa shot airport. Sasa sometime uyu Pastor Gabriel akaendesha maombezi for them. Watu waliattend yaan adi barker na Bra Lincs walikuepo... he be like "God Bless Frank Xavier and a safe return of Calvin Xavier" akawaomba watu wote wa repeat after him "GOD BLESS CALVIN XAVIER" watu God Bless Calvin Xavier "GOD BLESS FRANK XAVIER" wakamrepeat pia yaani was so emotional... Nalikubali san lile baharia lina bonge ya smile and a good taste in women and suits... ile pisi kali ya kuitwa Zukisa nikiipata itanitambua hahah bila kumsahau Lungi Biyera na yule ParessaGabriel alikuwa fundi kwanza alikuja Hotizon deep kama pastor hadi pisi kali zote akiwemo lareto wakawa wana attend mass kwasababu ya pastor.
Lungi mkali sana. Gabriel alikuwa master na akilenga pisi haikosi hadi zuki alianza muona mumewe takatakaYule jamaa Pastor Gabriel ni master piece sana yaani nilikua namkubali sana scene zake.... kuna hii moja Calvin Xavery alitekwa huko anaripoti war field ikabidi baba yake apange kumfata ila akawa shot airport. Sasa sometime uyu Pastor Gabriel akaendesha maombezi for them. Watu waliattend yaan adi barker na Bra Lincs walikuepo... he be like "God Bless Frank Xavier and a safe return of Calvin Xavier" akawaomba watu wote wa repeat after him "GOD BLESS CALVIN XAVIER" watu God Bless Calvin Xavier "GOD BLESS FRANK XAVIER" wakamrepeat pia yaani was so emotional... Nalikubali san lile baharia lina bonge ya smile and a good taste in women and suits... ile pisi kali ya kuitwa Zukisa nikiipata itanitambua hahah bila kumsahau Lungi Biyera na yule Paressa
HahahaDa kama mm mkuu nimeshakua mtu mzima Sana ila nasikitika kuwa bado napenda kuangalia katuni.