OkLeo hatimaye Isindigo the need imeisha rasmi ITV japokuwa South iliisha muda baada ya kuonyeshwa kwa miaka 21 mfululizo.
Wengine tumekua nayo toka watoto mpaka now watu wazima tuna watoto pia.
Ni tamthlia ambayo kwangu ilikuwa bora kabisa kuliko tamthilia yoyote niliyowahi kutazama.
Nilitamani iendelee ila ilikuwa haiwalipi tena maana ilikuwa imepoteza watazamaji kwa kiasi kikubwa hivyo SABC hawakuwa na namna zaidi ya kuimaliza.
Waigizaji nao walianza wakiwa watoto wamekwenda nayo mpaka wamezeekaLeo hatimaye Isindigo the need imeisha rasmi ITV japokuwa South iliisha muda baada ya kuonyeshwa kwa miaka 21 mfululizo.
Wengine tumekua nayo toka watoto mpaka now watu wazima tuna watoto pia.
Ni tamthlia ambayo kwangu ilikuwa bora kabisa kuliko tamthilia yoyote niliyowahi kutazama.
Nilitamani iendelee ila ilikuwa haiwalipi tena maana ilikuwa imepoteza watazamaji kwa kiasi kikubwa hivyo SABC hawakuwa na namna zaidi ya kuimaliza.
Duh kweli dunia imefika mwisho, hadi Isidingo imeisha, very sad.Leo hatimaye Isindigo the need imeisha rasmi ITV japokuwa South iliisha muda baada ya kuonyeshwa kwa miaka 21 mfululizo.
Wengine tumekua nayo toka watoto mpaka now watu wazima tuna watoto pia.
Ni tamthlia ambayo kwangu ilikuwa bora kabisa kuliko tamthilia yoyote niliyowahi kutazama.
Nilitamani iendelee ila ilikuwa haiwalipi tena maana ilikuwa imepoteza watazamaji kwa kiasi kikubwa hivyo SABC hawakuwa na namna zaidi ya kuimaliza.
Bila kumsahau VusiDuh kweli dunia imefika mwisho, hadi Isidingo imeisha, very sad.
Imetukuza tangu tukiwa wadogo, enzi za kina Mbuso T, Derick Nyati, Mathabane family, Papa G, Nandipa, Leti etc
Tuliipenda sana ISIDINGO lakini SABC wameipenda zaidi! π π πHakika Hakuna Marefu yasiyokua na ncha.
Sitamsahau mbabe na business rogue,Barker hayes na familia yake,Rajesh kumar,Duh kweli dunia imefika mwisho, hadi Isidingo imeisha, very sad.
Imetukuza tangu tukiwa wadogo, enzi za kina Mbuso T, Derick Nyati, Mathabane family, Papa G, Nandipa, Leti etc
Oshin ndo ile yule mwanamke anayepitia misukosuko ya maisha?Eeeeh.....nakumbuka Kuna tamthilia ya kijapani ITV...iliitwa Oshin[emoji16][emoji16][emoji16]....
Nimeikumbuka Sana...
Isidingo. Nliangalia Sana...ila nikaja achana nayo
Umenikumbusha utotoni nimerudi tena YOU TUBE kuiangalia. Ndiye yule mwanamke niliyemkusudia, tamthilia ya kijapani. Nimeikumbuka na Journey to the west.Eeeeh.....nakumbuka Kuna tamthilia ya kijapani ITV...iliitwa Oshin[emoji16][emoji16][emoji16]....