Hatimaye Isindigo imeisha rasmi ITV ilikuwa the best soap opera

Kati ya maeneo yote ya hii tamthiliya hakuna sehemu iliyo nikera kama ya Nikiwe (Pisi Kali) na Mtoto wa Tajiri Lincoln kushawishiwa na kumegwa kisela na yule mpuuzi Pastor Gabriel!!

Pia George Zamdela naye alikuwa ni Mafia sana. Ilihitaji utulivu sana kuielewa Isidingo The Need! Kinyume na hapo, unaona kama watu wanapiga piga tu stori.
 
Gabriel alikuwa fundi kwanza alikuja Hotizon deep kama pastor hadi pisi kali zote akiwemo lareto wakawa wana attend mass kwasababu ya pastor.
 
Tena hizi katuni za 3d ndo zinanoga balaa.Ukikiyana na kitu cha ninja tortoise acha tu
 
Hatimaye imeisha....binafsi EGOLI ndio ilinibamba mpaka nikawa mtumwa wake...Days of our Lives nayo haikunisamehe...mpaka siku nikasema...Enough...imetosha..utumwa wa series siutaki tena...nikaachana nao kweli since then...
 
SABC walisema hailipi tena kuweza kuwa maintains all characters Kwa sababu ya ushindani...
Hivi soaps kama zile hua zinaingiza hela ya maana kweli? Na zinaingizaje?
 
Aisee
 
Kwa kweli kama mdau wa isidingo long time nimeumia sana wametuacha kwenye kitendawili kikubwa sana kwamba alikufa ama lah ,aliempiga yule ni mdada gani?
Hata hivyo nawapongeza ITV sanaa wamesema Jana wataleta soupy nyingine ya UZALO ITV wako juu sanaaa

Isidingo tutakukumbuka sana waigizaji wenu wenye chura za kushuka
 
Mkuu Gabriel mothusi pastor ndo mmoja ya waigizaji mafundi zaidi na waliotumia akili kubwa kwenye misheni zao namkubali sana ila ilibidi mkataba wake uishe tu .nikiwe alizimika mwenyewe Gabriel akatumia fursa ..
Hebu fikiria from zamazama to pastor mpka kuwa mayor ..akili tu
 
Mtu aliyekuwa haangalii isidingo huyo hana akili ,kiufupi uwezo wake ni mdogo kuelewa anafaa akatazame kwa wahindi huko.
Lincoln anatufundisha kwamba ukiuawa kwa upanga utakufa kwa upanga ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…