Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
YouTube zipo mkuu lakini zile za zamani sana huwa zinafutwaNilikuwa napenda nisikilize akiongea,anajua ku twist lugha yule mzee,na vi methali vyake vya kisomi,yule alikuwa mzaramo wa kizungu aisee,ntawezaje kupata clips za isidingo episodes zilizopita?
Papaa G (george zamdela)alikuwa ni common mafia,ila mzee Baker hayes alikuwa ana act kama real economical hitman,nilimkubali sana yule mzee,lincoln alijaribu vyema kuvaa viatu vyake aiseeKati ya maeneo yote ya hii tamthiliya hakuna sehemu iliyo nikera kama ya Nikiwe (Pisi Kali) na Mtoto wa Tajiri Lincoln kushawishiwa na kumegwa kisela na yule mpuuzi Pastor Gabriel!!
Pia George Zamdela naye alikuwa ni Mafia sana. Ilihitaji utulivu sana kuielewa Isidingo The Need! Kinyume na hapo, unaona kama watu wanapiga piga tu stori.
Days of our lives nilipendaga sana kwa kweli, hadi leo wakati mwingine natazama YouTubeUmenikumbusha utotoni nimerudi tena YOU TUBE kuiangalia. Ndiye yule mwanamke niliyemkusudia, tamthilia ya kijapani. Nimeikumbuka na Journey to the west.
Sijui ni Capital TV au ni nini ile? Kila jumapili ilikuwa inaonyesha movie za kihindi 2003 au na 2004. Kuna series ya kihindi inaitwa Ganga Maiya kila siku ya Jumapili.
Kuna Days of Our Lives
Kuna The Bold and the Beautiful.
Kuna tamthilia waliionyesha ITV inaitwa Acapulco bay!
Kipindi hicho naangalia katuni vibaya! Cha kusikitisha mpaka sasa sijaacha kuangalia katuni.
Bila kusahau George zamdelaDuh kweli dunia imefika mwisho, hadi Isidingo imeisha, very sad.
Imetukuza tangu tukiwa wadogo, enzi za kina Mbuso T, Derick Nyati, Mathabane family, Papa G, Nandipa, Leti etc
Sunset beach ilikua kiboko drama kibaoTamthilia zilizowahi kubamba Bongo Ni Egoli na Sunset Beach nyingine chai tu
Kipindi hicho ilipigiwa kelele Hadi bungeni kwamba inamaudhui yasiyofaa kwa jamii,wanavaa vichupi SI unajua Mambo ya beach..Ila Sunset Beach ilikuwa kiboko. Ila iliishia njiani.
oshin anatoka nyumbani kwenda kijijini...............Eeeeh.....nakumbuka Kuna tamthilia ya kijapani ITV...iliitwa Oshin[emoji16][emoji16][emoji16]....
Nimeikumbuka Sana...
Isidingo. Nliangalia Sana...ila nikaja achana nayo
Uzalo kwa miaka zaidi ya minne sasa ndio popular South African soap opera na ndio inaongoza kwa kuangaliwa.Kwa kweli kama mdau wa isidingo long time nimeumia sana wametuacha kwenye kitendawili kikubwa sana kwamba alikufa ama lah ,aliempiga yule ni mdada gani?
Hata hivyo nawapongeza ITV sanaa wamesema Jana wataleta soupy nyingine ya UZALO ITV wako juu sanaaa
Isidingo tutakukumbuka sana waigizaji wenu wenye chura za kushuka
Matangazo mkuu...zile soaps huwa zinaangaliwa mpaka na watu million 10 kila sikuHivi soaps kama zile hua zinaingiza hela ya maana kweli? Na zinaingizaje?
Da kama mm mkuu nimeshakua mtu mzima Sana ila nasikitika kuwa bado napenda kuangalia katuni.Umenikumbusha utotoni nimerudi tena YOU TUBE kuiangalia. Ndiye yule mwanamke niliyemkusudia, tamthilia ya kijapani. Nimeikumbuka na Journey to the west.
Sijui ni Capital TV au ni nini ile? Kila jumapili ilikuwa inaonyesha movie za kihindi 2003 au na 2004. Kuna series ya kihindi inaitwa Ganga Maiya kila siku ya Jumapili.
Kuna Days of Our Lives
Kuna The Bold and the Beautiful.
Kuna tamthilia waliionyesha ITV inaitwa Acapulco bay!
Kipindi hicho naangalia katuni vibaya! Cha kusikitisha mpaka sasa sijaacha kuangalia katuni.