Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Unjani sabuwona
Wakuu kiukweli mimi ni mtu wa kushukuru katika maisha yangu Iwe neema kubwa kubwa au ndogo ndogo wakuu ninayo furaha kuwatangazia kuwa nimempata mchumba miss ...... Jina lake Linaanzia na A.
Wakuu after struggle ya almost 3 months mtoto namfuatilia bila matokeo yoyote yale but now nimemkamata miss A.
Nimemuahidi siwezi kumchezea mimi na yeye ni Pete na kidole. Muda wowote naenda kumtroduce nyumbani japo lakini zangu ndugu na jamaa wanamjua but haijawa officials. Wakuu asiwaambie mtu humu ndani Kuna mawife material aiseee japo ana ufeminism sana ila ni mpambanaji sana.
Kwenye uchumba tu amekuja kunipikia nyumbani mara kwa mara,kunifulia mara kwa mara n.k japo yupo sana ila ananifanyia nione nimezaliwa upya .! Wakuu Mapenzi matamu sana.
Nawakaribisha wakuu wote kwenye tukio la kumvesha Pete my only and one ♥ wangu.
"Life is beautiful 😍 thing"
Pia soma: Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni