Hatimaye jana nimelipwa mshahara wa Machi na Aprili baada ya kufanyiwa ukatili na PEPMIS

Tukutane kwenye kikokotoo
 
You should pay for this ad
 
Mkuu,
Wewe bado hauja ""mature enough "" ukiwa mtumishi wa Uma usipende ku expose Mambo yako na kulalama lalama kila muda kwenye social media..

For your information atapita humu kiongozi wako MTU mwenye kaliba ya ki Paul makonda utashuhurikiwa then uje uanze kulia Lia hapa usije SEMA tunakutisha au hatujakwambia punguza utoto..

✌️✌️✌️✌️
 
Watuwanadai mafaoo ya miaka 15 tena kampuni za serikali achatu
 
Kwahiyo kwa maelezo hayo aliyotoa, kati ya watumishi wa uma laki 7 ushamjua huyo ni yupi?

#YNWA
 
"Baadhi ya Mawaziri Serikali ya Awamu ya Sita wamekuwa na Utajiri wa ghafla usio kifani..."

-source:-



watumishi wa umma wameachwa yatima huju viongozi wakila na kumwaga.
Kwa mfano walimu
1. Afisa elimu wilaya 900,000 excl salary
2. Afisa elimu kata 250,000 excl salary
3. Mkuu wa shule 250,000 excl salary
4. Mwalimu mkuu 200,000 excl salary
5. Mwalimu darasani hana posho

Kumbuka hawa viongozi wanazurula tu kwa mwezi mara moja au mbili. Kazi na majukumu yote ni Mwalimu. Kazi kubwa ya hawa viongozi ni kuripoti kutoa taarifa juu.

Huo mfano wa uonevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…