Hatimaye kaburi la shujaa Dedan Kimathi lapatikana

Hatimaye kaburi la shujaa Dedan Kimathi lapatikana

Ila twende mbele na kurudi nyuma jamaa alikuwa shujaa na pia nadhani hakujutia kukamatwa alikuwa tayari kwa lolote. Wakenya mnapaswa kutoa heshima ya kitaifa kwa dedan kimathi.nimetizama hiyo video hapo juu nikajiskia vibaya sana.waafrika wenzake ndo wanamuandaa sijui kwenda kunyongwa masikini.wangejua alikuwa anapigania Uhuru wao.
 
Yes. Niliipenda sana ile PLAY... alisomewa mashtaka Mahakamani.. Nilipenda ule msururu wa vyeo vyake... Dedan Kimathi s/o Wachiuri, alias Prime Minister, field marshal... Daaah!
Nakumbuka kitabu tulisoma A level...The Trial of Dedan Kimathi. Alikuwa jasiri huyu mtu.
 
Tulivyomsoma kwenye vitabu vya historia huku TZ kuna vitabu waliandika kuwa Dedan Kimathi alikuwa jasiri sana na kwenye msimamo na mwishoni alizikwa akiwa hai.

May be it was a confusion...!
 
Tulivyomsoma kwenye vitabu vya historia huku TZ kuna vitabu waliandika kuwa Dedan Kimathi alikuwa jasiri sana na kwenye msimamo na mwishoni alizikwa akiwa hai.

May be it was a confusion...!
Waiyaki wa Hinga was the one who was buried alive
 
Halafu ushujaa akachukua Jomo. Acha tu familia iwaibie mpaka mkome
 
The GoK is as useless as you & other Tanzanians. It comprises of co

Lets Negotiate then, I will give you a baby boy with Brain as beautiful as his Daddy’s, and you’ll eventually access the green-light to Tanzanian Citizenship.
 
Back
Top Bottom