Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mlinzi bora kwa miaka 10 iliyopita katika soka letu la bongo, Kelvin Yondan Vidic Injinia Cotton Juice amesaini mkataba wa miezi sita katika timu ya Polisi Fc inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom!
Ni wakati mwingine wa kumshuhudia beki huyu ambaye anaweza akakupa ladha zote awapo uwanjani, anaweza akacheza kistaarabu sana lakini pia anaweza akacheza kibabe! Anaogopeka sio tu na washambuliaji wa timu pinzani bali hadi marefa!
Karibu tena kwenye VPL the living legend, Cotton Juice!