Hatimaye Kelvin Yondan "Cotton" atua Polisi FC

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mlinzi bora kwa miaka 10 iliyopita katika soka letu la bongo, Kelvin Yondan Vidic Injinia Cotton Juice amesaini mkataba wa miezi sita katika timu ya Polisi Fc inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom!

Ni wakati mwingine wa kumshuhudia beki huyu ambaye anaweza akakupa ladha zote awapo uwanjani, anaweza akacheza kistaarabu sana lakini pia anaweza akacheza kibabe! Anaogopeka sio tu na washambuliaji wa timu pinzani bali hadi marefa!

Karibu tena kwenye VPL the living legend, Cotton Juice!
 
huyu mwamba aligoma kuongeza mkataba yanga akidai wamuongezee mshahara, sasa sijui huko polisi wamemuongezea mshahara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yondan ni mjinga, no ni mpumbavu sasa Polisi ataenda kuuza mechi ili apate hela vinginevyo hamna kitu.
 
Yodani anaweza akawa beki mzuri lakini, lakini alikuwa na fujo vurugu usumbufu viatu nk.

Victor Costa Nyumba ndiye BEKI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA KATIKA ARDHI YA TANZANIA.

UCHEZAJI WA Costa unafanana sana na Geoge masatu NA ERASTO NYONI KWA SASA.

Mimi nimesema kwa miaka 10 iliyopita! Nampoka Nyumba yupo kwenye class ya pekee, Costa kama angepata washauri sahihi angeshacheza ulaya!
 
Mikia bwana
 
Mzee GEORGE MAGERE MASATU nadhani alikuwa bora kuliko NAMPOKA
 
Mlinzi bora kwa miaka 10 iliyopita katika soka letu la bongo, Kelvin Yondan Vidic Injinia Cotton Juice amesaini mkataba wa miezi sita katika timu ya Polisi Fc inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom!

Ni wakati mwingine wa kumshuhudia beki huyu ambaye anaweza akakupa ladha zote awapo uwanjani, anaweza akacheza kistaarabu sana lakini pia anaweza akacheza kibabe! Anaogopeka sio tu na washambuliaji wa timu pinzani bali hadi marefa!

Karibu tena kwenye VPL the living legend, Cotton Juice!
Ajitahidi tu akiwa huko Polisi asipende sana Kuvuta hovyo Bangi zake kwani hao hao anaowachezea ndiyo watamkamata na Kumpeleka Segerea.
 
Back
Top Bottom