Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Yondan ni mjinga, no ni mpumbavu sasa Polisi ataenda kuuza mechi ili apate hela vinginevyo hamna kitu.huyu mwamba aligoma kuongeza mkataba yanga akidai wamuongezee mshahara, sasa sijui huko polisi wamemuongezea mshahara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Labda kakabidhiwa funguo za seloYondan ni mjinga, no ni mpumbavu sasa Polisi ataenda kuuza mechi ili apate hela vinginevyo hamna kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Labda kakabidhiwa funguo za selo
Usiseme beki bora kuwahi kutokea, sema beki bora uliyemshuhudia kwa umri wako.Yodani anaweza akawa beki mzuri lakini alikuwa na fujo vurugu usumbufu viatu nk....
Marefa kivp?
huyu mwamba aligoma kuongeza mkataba yanga akidai wamuongezee mshahara, sasa sijui huko polisi wamemuongezea mshahara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yodani anaweza akawa beki mzuri lakini, lakini alikuwa na fujo vurugu usumbufu viatu nk.
Victor Costa Nyumba ndiye BEKI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA KATIKA ARDHI YA TANZANIA.
UCHEZAJI WA Costa unafanana sana na Geoge masatu NA ERASTO NYONI KWA SASA.

Mikia bwanaYodani anaweza akawa beki mzuri lakini, lakini alikuwa na fujo vurugu usumbufu viatu nk.
Victor Costa Nyumba ndiye BEKI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA KATIKA ARDHI YA TANZANIA.
UCHEZAJI WA Costa unafanana sana na Geoge masatu NA ERASTO NYONI KWA SASA.
Mzee GEORGE MAGERE MASATU nadhani alikuwa bora kuliko NAMPOKAYodani anaweza akawa beki mzuri lakini, lakini alikuwa na fujo vurugu usumbufu viatu nk.
Victor Costa Nyumba ndiye BEKI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA KATIKA ARDHI YA TANZANIA.
UCHEZAJI WA Costa unafanana sana na Geoge masatu NA ERASTO NYONI KWA SASA.
Ajitahidi tu akiwa huko Polisi asipende sana Kuvuta hovyo Bangi zake kwani hao hao anaowachezea ndiyo watamkamata na Kumpeleka Segerea.Mlinzi bora kwa miaka 10 iliyopita katika soka letu la bongo, Kelvin Yondan Vidic Injinia Cotton Juice amesaini mkataba wa miezi sita katika timu ya Polisi Fc inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom!
Ni wakati mwingine wa kumshuhudia beki huyu ambaye anaweza akakupa ladha zote awapo uwanjani, anaweza akacheza kistaarabu sana lakini pia anaweza akacheza kibabe! Anaogopeka sio tu na washambuliaji wa timu pinzani bali hadi marefa!
Karibu tena kwenye VPL the living legend, Cotton Juice!
Ajitahidi tu akiwa huko Polisi asipende sana Kuvuta hovyo Bangi zake kwani hao hao anaowachezea ndiyo watamkamata na Kumpeleka Segerea.