Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
George Magere MasatuYodani anaweza akawa beki mzuri lakini, lakini alikuwa na fujo vurugu usumbufu viatu nk.
Victor Costa Nyumba ndiye BEKI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA KATIKA ARDHI YA TANZANIA.
UCHEZAJI WA Costa unafanana sana na Geoge masatu NA ERASTO NYONI KWA SASA.
Kwamba Nyoni ni beki bora? Ukiwekewa hapa Nyoni, Yondani, Aggrey Moris Na Nyoso katika beki lazima Nyoni a[emoji777]Yodani anaweza akawa beki mzuri lakini, lakini alikuwa na fujo vurugu usumbufu viatu nk.
Victor Costa Nyumba ndiye BEKI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA KATIKA ARDHI YA TANZANIA.
UCHEZAJI WA Costa unafanana sana na Geoge masatu NA ERASTO NYONI KWA SASA.
watu mnamaudhi[emoji23][emoji23][emoji23]Labda kakabidhiwa funguo za selo
Alikuwa anataka signing fee,Yanga walitaka kuboresha salary tu kwenye new contracthuyu mwamba aligoma kuongeza mkataba yanga akidai wamuongezee mshahara, sasa sijui huko polisi wamemuongezea mshahara😀😀😀😀
Ila bado atabaki legend wetu kwa mafanikio aliyotupa......alikuwa anapambana sana.....Afande Yondani wananchi tushamsahau mapema sana
Apambane na akili zake za bange zilizomtuma aigomee timu ya wananchi
Leo Yondani ana jambo lakeYondan ni mjinga, no ni mpumbavu sasa Polisi ataenda kuuza mechi ili apate hela vinginevyo hamna kitu.