Hatimaye Kelvin Yondan "Cotton" atua Polisi FC

Hatimaye Kelvin Yondan "Cotton" atua Polisi FC

Yodani anaweza akawa beki mzuri lakini, lakini alikuwa na fujo vurugu usumbufu viatu nk.

Victor Costa Nyumba ndiye BEKI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA KATIKA ARDHI YA TANZANIA.

UCHEZAJI WA Costa unafanana sana na Geoge masatu NA ERASTO NYONI KWA SASA.
Kwamba Nyoni ni beki bora? Ukiwekewa hapa Nyoni, Yondani, Aggrey Moris Na Nyoso katika beki lazima Nyoni a[emoji777]
 
huyu mwamba aligoma kuongeza mkataba yanga akidai wamuongezee mshahara, sasa sijui huko polisi wamemuongezea mshahara😀😀😀😀
Alikuwa anataka signing fee,Yanga walitaka kuboresha salary tu kwenye new contract
 
Back
Top Bottom