Kuna mwenzangu mmoja humu alikuolezea wewe kuwa ni miongoni mwa watu wasio na akili kabisa, hata akadirika kuweka baadhi ya threads ulizozifungua hapa jamvini na zikakosa wachangiaji. Mimi ninajua kinachokuumiza ni wivu dhidi ya Tanzania, kwamba uchumi unapanda kwa 7%, kwenu ni 4.8%, Tanzania inajenga reli ya umeme kwa pesa yake, ninyi pamoja na kujisifia GDP kubwa na bajeti kubwa lakini hamuwezi kununua hata kichwa kimoja kwa pesa yenu mnakopa hadi wakopeshaji wanaanza kuwakimbia, njaa haiwakalii mbali, maji hapo Nairobi ni shida wakati sisi tunatafuta wapipa kuyapeleka maji ya ziada.
Hiyo taarifa uliyoiona hapo 49.3% vijijini wamepata umeme, ulipofanya hesabu zako umeenda vizuri ulipopata 64% ya watu vijijini wameunganishwa na umeme, mijini ni 95 wameunganishwa, kabla ya kujibu, ungetafuta taarifa za mjini watu walioungashwa na ukatafuta wastani, wala usingejidhalilisha.
Wewe kawaida ni mtu mwenye maumivu sana ukiona Tanzania inaendelea, wewe ni mkikuyu pure, wewe ukabila unakusumbua sana, unasumbuliwa na stress za maisha, kila mtu akiitetea nchi yake unadhani ni ama ametumwa au amepewa pesa, hizo ni tabia zenu huko kwenu kwa sababu ukabila na rushwa vimo katika DNA zenu, sisi hatuyajua hayo.