simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Poa tu kila MTU achunge ngombe wake kwenye nchi yake.
Sababu huchungi wewe waonee huruma wanañchi wenzioPoa tu kila MTU achunge ngombe wake kwenye nchi yake.
Mm naamini Hao wameporwa na mungiki kwa lengonlabkulipa kiasiPoa tu kila MTU achunge ngombe wake kwenye nchi yake.
Wala nchi haitakiwi kutishika serikali ikomae tu iendelee kutimua wafugaji toka Kenya kuna sababu sizianiki hapa ila serikali iko kwenye right trackSi mmechoma moto vifaranga kwa mbwembwe? Acheni dawa iwaingie.
Umesikia watanzania tumelalamika? Mimi mmojawapo nimepongeza hatua hiyo ya serikali ya Kenya na kusisitiza kila MTU achunge ngombe wake kwao kwenye nchi yakeMbona sisi tuliwanyang'anya wao hawakulalamika?malipo ni humuhumu duniani.
Basi tuanze kulalamikaUmesikia watanzania tumelalamika? Mimi mmojawapo nimepongeza hatua hiyo ya serikali ya Kenya