Hatimaye Kenya wametaifisha ngombe 4000 wa Tanzania

Hatimaye Kenya wametaifisha ngombe 4000 wa Tanzania

Wala nchi haitakiwi kutishika serikali ikomae tu iendelee kutimua wafugaji toka Kenya kuna sababu sizianiki hapa ila serikali iko kwenye right track

Kuna siku umewai kuikosoa serikali? Kazi yako ni kupongeza.
 
Duh halafu mbaya zaidi imefanywa na Wamaasai wa Kenya, hivyo sasa kabila moja na ndugu walioishi pamoja miaka yote sasa wameanza kuzozana kwa msingi wa mpaka wa kikoloni, nilikua naogopa hili lisitokee. Maana hawa Wamaasai ni kabila moja, ni kama leo mzungu aje achore mpaka ndani ya Mwanza na kuwagawanya Wasukuma, utakuta kuna hata ndugu wa kuzaliwa kutoka tumbo moja wamegawanywa.
Siku mkiona nyumbu wetu huko pigeni mnada kabisa na hakikisheni hawarudi huku Tanzania, Kama mwanaafrika mashariki sikupenda kitendo cha serikali yangu kutia moto vifaranga vyenu.
 
Duuuuh!
Nawe ni mtanzania mzalendo?
Uzalendo ni pamoja na kutetea bidhaa za Ndani Tanzania kuna wazalisha vifaranga vya kuku kibao kwa nini viagizwe nje? Wakati watanzania wenzetu wamewekeza mashine kibao wanazalisha vifaranga vinavyowadodea? Siwezi tetea mtanzania mmoja mfanyabiashara za vifaranga vya Kenya abayekuja kuua biashara ya mamia ya watanzania wazalisha vifaranga vya kuku.Yaani nisimame nitetee soko LA wazalisha viranga wa Kenya niache wa nchini kwangu?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Sijasema habari ya vifaranga,
Nashangaa unapofurahia kutahifishwa kwa ng'ombe hao wa watanzania wenzako.
Wakati umeshajiita mzalendo unatetea vya ndani na vya watanzania .
 
serikali ya kenya haijataifisha ng'ombe yeyote toka tanzania
ni maasai wenyewe ndie wamezuia ngombe mpakani
 
Sawa kabisa...itafidia hasara ya kuchoma vifaranga vyao! Wawachinje wote!
 
Sijasema habari ya vifaranga,
Nashangaa unapofurahia kutahifishwa kwa ng'ombe hao wa watanzania wenzako.
Wakati umeshajiita mzalendo unatetea vya ndani na vya watanzania .
Natetea wazalendo watetea nchi lakini wakiwa chama ambacho kazi yake kutetea mafisadi wa mataifa ya nje wanaoiba raslimali zetu za madini nk Na kusaidia wezi kuzuia Mali zetu nje ziwe bombardier nk sitajali vingombe vyao vikizuliwa Kenya hata vikichomwa moto to hell.Nashangaa serikali ya Kenya hadi sasa kwa mini hawajawatia kibiriti hao ngombe
 
Wala nchi haitakiwi kutishika serikali ikomae tu iendelee kutimua wafugaji toka Kenya kuna sababu sizianiki hapa ila serikali iko kwenye right track

Sababu hakuna ng'ombe wako walikamatwa.
 
Sijasema habari ya vifaranga,
Nashangaa unapofurahia kutahifishwa kwa ng'ombe hao wa watanzania wenzako.
Wakati umeshajiita mzalendo unatetea vya ndani na vya watanzania .
Na sisi tulivotaifisha ng'ombe wao? Ulitegemea wakenya watupongeze au? Tit for tit!
 
Back
Top Bottom