Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Tuwachome moto wanawaambukiza nyumbu wetu magonjwaMagu baba lini kuzuia nyumbu kuvuka mipaka? Nyumbu wa Kenya hawatufai baba.
Wale vifaranga waliochomwa moto hawastahili huruma?Sababu huchungi wewe waonee huruma wanañchi wenzio
Tulalamikie nini wakati ngombe walioshikwa Kenya ni wa wafuasi wa chademaBasi tuanze kulalamika
Hahahaha kwani Chadema sio watanzania?Tulalamikie nini wakati ngombe walioshikwa Kenya ni wa wafuasi wa chadema
Wanamlipa kisasi laigwan lowasa hao wamasai wanaoishi Kenya mpakani na Tanzania ni wafuasi wa lowasa na chadema na hizo ngombe ni za wanachadema wamasai walio chini ya Laigwan Lowasa. Sina tatizo serikali ya Kenya ikitaka hata kuwachoma moto ichome tu na ikitaka kuwatimua iwatimue tuSirikali ya majuha, ngoja waanze kulipa visasi si tulifikili mazuri??!!!!!
Nilipoona tu huu uzi akili yangu ilikimbilia kwenye nyumbu.Magu baba lini kuzuia nyumbu kuvuka mipaka? Nyumbu wa Kenya hawatufai baba.
Utanzania wao wa mashaka ni madiaspora yanayoishi TanzaniaHahahaha kwani Chadema sio watanzania?
Nyumbu waacheni wakae ufipa, hawahitaji kuhama.Magu baba lini kuzuia nyumbu kuvuka mipaka? Nyumbu wa Kenya hawatufai baba.
Haina shida hao ngombe wataifishe tu ila hata vifaranga cha Kenya hakitakanyaga Tanzania. Serikali idhibiti mipaka na njia zote za panyaTit for tat ukiliazisha jamaa wanamalizia alafu unadai wanatukomoa wataifishe tu hata kama ni 50,000.