Hatimaye Kenya wametaifisha ngombe 4000 wa Tanzania

Umesikia watanzania tumelalamika? Mimi mmojawapo nimepongeza hatua hiyo ya serikali ya Kenya na kusisitiza kila MTU achunge ngombe wake kwao kwenye nchi yake
Afu usikike unatoa povu kua upo kwenye EAC
 
Ufugaji wa kisasa ni wa kuwa na mifugo michache unayoweza kuihudumia na shamba kubwa la malisho na maji ya kutosha
Ingekua hivyo wafugaji wange-save demand ya walaji wachache, tofautisha ng'ombe wa maziwa na wanyama
 
Sababu hakuna ng'ombe wako walikamatwa.
Ngombe wa ndugu zake Lowasa wamasai wenzie ndio wameshikwa atajijua
Afu usikike unatoa poa kua upo kwenye EAC
Swala la Ardhi Tanzania tuligoma sio sehemu ya jumuiya hatutaki.Wakenya wasilete ngombe Tanzania kula majani ya ardhi yetu kote walikubaliana swala LA ardhi Tanzania tuligoma.Hilo sio swala LA EAC please.
 
Mpaka hapa nimekuelewa hongera kwa kuwachukia wapinzani na kuchanganya siasa kwenye kila Jambo.
 
Wapinzani pia huchanganya siasa kila jambo iwe madini,makinikia bombardier nk usisahau hilo
Ukijua maama kamili ya UPINZANI katika siasa basi itakusaidia kutofautisha matukio,
Hili suala halina hata chembe ya siasa wala itikadi za chama.
 
Hoja tunaongelea Kenya acha kudandia forum za watu kaanzishe thread yako ya ngombe wa Rwanda usitutoe nje ya mada
Wewe ulipodandia Uzi wa jamaa na kuandika comment yako, ulilenga watu gani hasa wanaopaswa kusoma comment yako hiyo?

Màada ni ng'ombe kuchungiwa kwenye mapori ya hifadhi katika pande zote nchi yaTanzania na si Kenya pekee!

Usitutoe kwenye Maada, anzisha Uzi wako kisha uchangie mwenyewe .
 
The Kenyan government has not confiscated or nationalized any domestic animals from Tanzania
your title is misleading
Nimesema Kenya siyo Serikali ya Kenya! Pongezi ndugu zetu wamasaai wa Kenya jicho kwa jicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…